The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Umeniwahi....😁Akijibu nitag.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeniwahi....😁Akijibu nitag.
Alishatolea ufafanuzi mbona, mademu wabovu anapakia ila alisema anaeleza wale character main ili stori isiwe na mambo mengiNimesoma story nyingi Sana.
Kiukweli mwanzo ilikuwa ni stori ya ukweli Ila baada ya kuona Ina mashabiki wengi akaanza kuongeza chumvi.
Yaani haina uhalisia wa maisha ya kawaida .
Kupewa million kwake ni kitu cha kawaida.
Wateja wake wote wazuri hajawahi kupakia demu mbovu.
Yaani yeye kupewa iPhone 13 kawaida ,Mara kapewa kwenye bahasha laki 3 Mara .
Tips kwenye Hii stori zimekuwa nyingi Sana kuliko hata kazi.
Kiukweli hii fiction acha tuone mwisho unakuaje.
Yaani watu kama hawa hatukatai kusimulia story.He is tell lies to us, kazi nazo akifanya hakosi doo lakini ukweli ni kuwa amewahi au anafanya biashara ya uber ila stori katunga.
Chai chai.Alishatolea ufafanuzi mbona, mademu wabovu anapakia ila alisema anaeleza wale character main ili stori isiwe na mambo mengi
Story ya uongo hii, mwanamke anayefanya masaji kwa dola elfu 10 anashindwa kuwa na gari kali inayoendana nae au kuwa na dereva wa kudumu.Yaani watu kama hawa hatukatai kusimulia story.
Ila mazingira ya madereva wa bolt au.uber hayako kama yeye anavyotaka kutuaminisha.
Uber yake amepanda waziri halfu akaanza kupiga nae story Sana na alisema sio mpenzi wakuongea na wateja.
Uber yake haijawahi kupata hasara siku zote mafanikio tu.
Madereva maisha yanavyowapiga na hela ya mafuta Ila yeye anaweza kwenda kiwanja akatumbua hata laki moja ikawa kawaida.
Stori now imefika kiasi kwamba hapati hata muda wa kazi Anaweza kushinda kwa iryn au prisca akasahau kupiga kazi...sasa sijui hela ya mafuta alikuwa Anapata wapi ?
Anafnya madereva wengne wa uber na bolt wajione wana mikosi tuChai chai.
Madereva wa uber wenyewe wanashangaa haya maisha anayoishi mwenzao.
Vingine acheni vipite ni story mwisho wa siku tunapata burudani huu ujuaji wenu ndo hua una wafanya wengine waache story hewani bila kumaliza kwa sababu ya wajuaji kama nyie vitoto vya (1998 - 2003) si ajab wakt tunasoma story za shigongo kweny magazeti yake mlikua bado mnanyonya 😏😏He is tell lies to us, kazi nazo akifanya hakosi doo lakini ukweli ni kuwa amewahi au anafanya biashara ya uber ila stori katunga.
Hapana mtu anaposema story ya kweli lazima tuone uhalisia ila story ya huyu jamaa mwanzoni uhalisia 80% Ila kwa sasa uhalisia 20%Vingine acheni vipite ni story mwisho wa siku tunapata burudani huu ujuaji wenu ndo hua una wafanya wengine waache story hewani bila kumaliza kwa sababu ya wajuaji kama nyie vitoto vya (1998 - 2003) si ajab wakt tunasoma story za shigongo kweny magazeti yake mlikua bado mnanyonya [emoji57][emoji57]
Story inaanza ndani.ya miaka miwili kazini ametengeneza million 24 .Eti huyo iryn ana pesa lakini siku wamegongwa akashindwa kumpa laki 7 akanyooshe gari mpaka wakamkaba mlevi aliyewagonga akaweka bond iphone.
Bata kwa siku wanapiga mpaka la laki 7 lakini kunyoosha gari mziki.
Subiri story itakapo fika mwishoni ndio uweke criticism sasa hata katikati mwandishi haja fika mmesha anza kulalama hamuoni kama mnataka mmumkatishe tamaa mnakosa SUBRA kama bao la kwanza namna gani nyie vijana wa siku hizi??Hapana mtu anaposema story ya kweli lazima tuone uhalisia ila story ya huyu jamaa mwanzoni uhalisia 80% Ila kwa sasa uhalisia 20%
Madereva wa uber wanavyoongoza Ku lala kwenye magari mwezetu analala kwa iryn kutwa nzima ..Tangu amemuacha mke wake walivyogombana hajawahi kwenda kumuomba msamaha wala kupokea simu yake akipiga yeye na mademu mademu na yeye, hii story jamaa anatupanga haina uhalisia. Huwezi kuwa mke tena ana mtoto mdogo then ukawasahau kabisa kisa mmegombana akarudi kwao halafu uwe na amani kabisa hata kwenda kuwaona ni no lakini upande wa pili kila siku yeye kwa iryn tena mpaka anapika pilau, kwa mtu mwenye familia tena changa anajua huu ni uongo.
Kwa Jf hatusubirigi mwisho kuna jamaa humu ndani alishawahi kuja na story ya kwenda afrika kusini bila ndugu akapokelewa na kanisa halfu wakapata safari ya kwenda Eswatin bila chochote na mzamiaji aliacha kusimulia.Subiri story itakapo fika mwishoni ndio uweke criticism sasa hata katikati mwandishi haja fika mmesha anza kulalama hamuoni kama mnataka mmumkatishe tamaa mnakosa SUBRA kama bao la kwanza namna gani nyie vijana wa siku hizi??
Yaani ulipwe dola Elfu 10 kwa lisaa ushindwe kuwa na gari uongo uongo.Story ya uongo hii, mwanamke anayefanya masaji kwa dola elfu 10 anashindwa kuwa na gari kali inayoendana nae au kuwa na dereva wa kudumu.
Story imekosa uhalisia.
Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwaMadereva wa uber wanavyoongoza Ku lala kwenye magari mwezetu analala kwa iryn kutwa nzima ..
Nauliza hela ya mafuta alikuwa anapata wapi ?
Mbona tunasikia case nyingi wanaume wanatelekeza watoto bila ugomvi wowote wa familia au wanakimbia familia na wanaenda kula bata wakiwa na amani,, ila wewe unaona kwa insider haiwezekaniTangu amemuacha mke wake walivyogombana hajawahi kwenda kumuomba msamaha wala kupokea simu yake akipiga yeye na mademu mademu na yeye, hii story jamaa anatupanga haina uhalisia. Huwezi kuwa mke tena ana mtoto mdogo then ukawasahau kabisa kisa mmegombana akarudi kwao halafu uwe na amani kabisa hata kwenda kuwaona ni no lakini upande wa pili kila siku yeye kwa iryn tena mpaka anapika pilau, kwa mtu mwenye familia tena changa anajua huu ni uongo.
Chai chai hakuna mtu mwenye familia akawa anaendekeza starehe kama huyu msimuliaji.Hela ya mafuta anapata wapi? Jamaa alishasema iryn anampa laki 3 wikiend,, bado ana abiria mmoja mmoja anaowapakiza,, bado wale watoto wa shule anao mama wawili na maggy. Mbona stori iko simple inaeleweka hakuna haja ya kukaza kichwa
Kwahiyo wewe ukiwa na pesa, gari yako ikigongwa utakuwa unaenda kunyoosha bila kudai chochote. Yani unamwambia aliyekusababishia ajali awe na amani tu yani freshEti huyo iryn ana pesa lakini siku wamegongwa akashindwa kumpa laki 7 akanyooshe gari mpaka wakamkaba mlevi aliyewagonga akaweka bond iphone.
Bata kwa siku wanapiga mpaka la laki 7 lakini kunyoosha gari mziki.