LEARNED BROTHER
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 600
- 868
Sawa tajirii..Jumamosi-jumapili tutaendelea kwa episodes za kutosha, jumamosi mapema sana [emoji1544]
Nimemuhurumia Iryn kwa hilo tukio.
Sawa tajirii..Jumamosi-jumapili tutaendelea kwa episodes za kutosha, jumamosi mapema sana [emoji1544]
Analyse huyu nae ni balaa tena Insider na Lwanda hawajamfikiaHivi wakuu mpaka hapa tulipofikia kila moja list yako ya GREATEST Story tellers wa JF ni ipi?. Mimi japo sijasoma nyingi lakini hawa jamaa wafuatao nawaheshim
1. leadermoe R.I.P
2. UMUGHAKA
3. INSIDER MAN
4. LwandaMagere
5. Bado Sijasoma nyingine ila kuna room ya kupatikana wa nafasi hii km nikikuta story matata 😀
Inatakiwa iwepo list ya zile story za kunyegeshaHivi wakuu mpaka hapa tulipofikia kila moja list yako ya GREATEST Story tellers wa JF ni ipi?. Mimi japo sijasoma nyingi lakini hawa jamaa wafuatao nawaheshim
1. leadermoe R.I.P
2. UMUGHAKA
3. INSIDER MAN
4. LwandaMagere
5. Bado Sijasoma nyingine ila kuna room ya kupatikana wa nafasi hii km nikikuta story matata 😀
Muongo Muongo Huyu mama.Inatakiwa iwepo list ya zile story za kunyegesha
Money Penny na story yake ya mwalimu kuanza uchepukaji uzeeni
Sure brother usije shawishika na maneno yao maana nahakika ukisema utengeneze hata yeye hatakusupport kununua! So fanya kama ulivyopanga kufanya hapo awaliTanzania wanapenda vya bure unaweza tumia gharama kutengeneza kitabu afu ukapata hasara.
Wala usijethubutu kufanya hiyo laana kaka, stick with your family hiyo ndiyo baraka pekee kwako hayo mengine ni mapito tuu kakaWanaume wengi tunafeli hapa,
Asante sasa ♥️
“Insider naomba uje hotelin ndani haraka
I’m in danger, please. Room No. 222”
Jumamosi-jumapili tutaendelea kwa episodes za kutosha, jumamosi mapema sana [emoji1544]
Muongo Muongo Huyu mama.
Sema kinacho Muokoa akipiga hela anapiga ndefu kwa mfano kuwakutanisha tu muajem analamba kama milion tatu kwa hiyo hata akishinda na irene wiki nzima wanalala tu hakuna kinacho haribika. Alafu ana zile ruti mbili kila asubuhi ambazo mwisho wa mwezi zinampa zaidi ya milioni mbili so jamaa hata akiamua kulala tu baada ya kupeleka wanafunzi shule bado ni uhakikaSiku ya pili mfululizo ujafanya kazi una zurura tu na iryn [emoji41]
Ila nimependa jins ulivyo lihandle swala la muajemi ,kila saa unamkumbusha kuhusu mtu huyo design Kama asisahau kuwa Kuna ratiba hyo ya kumuona siku hyo
Hahahahaha na jamaa yaani angetaka mzigo Angepiga safi kabisa bila kuhonga.Dunia inamambo ya ajabu sana wengine hadi wahonge hereni na cheni za dhahabu zenye mathamani makubwa makumbwa ya hela wengine wana mfurahisha irene kwa ofa ya kitimoto tu na wanakula na hug [emoji16][emoji16][emoji16]
hahahahahaha!! yote 9, kumi ni kwamba wanapewa hata ulivyohonga wewe, utasikia eti ."hiyo simu wewe ichukue tu",,na bado mwanaume umeagizwa mashine za saluni za mamilion (pumbavu kabisa).....Dunia inamambo ya ajabu sana wengine hadi wahonge hereni na cheni za dhahabu zenye mathamani makubwa makumbwa ya hela wengine wana mfurahisha irene kwa ofa ya kitimoto tu na wanakula na hug [emoji16][emoji16][emoji16]
Tatizo moja tu kwa Insider anamsahau sana mke wake anakuwa taken by events hela kweli anapiga na anakuwa busy sana imagine hata kumpigia simu mama Junior anajikuta amesahau.Natamani hapo mbeleni nijue kama ndoa hiyo iliendelea.Sema kinacho Muokoa akipiga hela anapiga ndefu kwa mfano kuwakutanisha tu muajem analamba kama milion tatu kwa hiyo hata akishinda na irene wiki nzima wanalala tu hakuna kinacho haribika. Alafu ana zile ruti mbili kila asubuhi ambazo mwisho wa mwezi zinampa zaidi ya milioni mbili so jamaa hata akiamua kulala tu baada ya kupeleka wanafunzi shule bado ni uhakika