Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kama unaleta episode nyingine leta ila punguza uongo la sivyo utaendelea kula negative comments wewe na wakolomije wenzio.
Mwambie.

Naona ana misukule mingi imeshakula arosto inamwamini Sana.

Kiukweli apunguze chumvi tu.


Nadhalia ni nyingi kuliko ukweli.

Sijawahi kuwa na mashaka.na stori za analyse au.umughaka zinabeba uhalisia Ila story za jamaa hapa siasa tu
 
Tangu amemuacha mke wake walivyogombana hajawahi kwenda kumuomba msamaha wala kupokea simu yake akipiga yeye na mademu mademu na yeye, hii story jamaa anatupanga haina uhalisia. Huwezi kuwa mke tena ana mtoto mdogo then ukawasahau kabisa kisa mmegombana akarudi kwao halafu uwe na amani kabisa hata kwenda kuwaona ni no lakini upande wa pili kila siku yeye kwa iryn tena mpaka anapika pilau, kwa mtu mwenye familia tena changa anajua huu ni uongo.
Imeenda
 
It seems like you are well connected, naomba nisafirie nyota mkuu. Kama una network ya watu wanaohitaji a delivery guy then I'm the guy.

Me nimemaliza chuo November mwaka jana na degree ya management of social development. Ninaishi Kigamboni na meanwhile nafanya deals za hapa na pale (sourcing, procurement na delivery...yaani watu wananiagiza huku na kule kununua vitu na kuvifikisha kwao kisha wananipatia hela ya kula).


Nina uzoefu wa kuendesha gari kwa miaka 6 now though sina driving license. Nina umri wa miaka 24, na niko very presentable and reliable. Naongea lugha nne(Kiswahili, English, French na sign language) kwa ufasaha mkubwa kabisa.
Nimetamani kulia ulivyojieleza. Kila la heri mkuu
 
Is this a delaying strategy?

Maneno yalipoanza, Insider and the opposing side, imekuwa ni malumbano. Na mleta mada kasema mpaka papoe.

At first, he promised it be on early Saturday. To time, hakuna kilichoonekana. Kisingizio, mpaka patulie.

Mkuu INSIDER MAN ina maana pasipotulia, story imeishia hapo?

Anyway!.
Hauna kazi mkuu.

Mbona unakuwa kama maskini fulani kufuatilia story muda wote
 
Nafikiri tufate ushauri wa dokta au mnaonaje?
Hapo ndg utakuwa hujafanya sawa maana ulitoa ahadi ya jumamosi mapema sana lakini ukakutana na changamoto za wahafidhina humu ndani ukaahidi utarejea pakitulia lakini sasa unataka kubadilika tena ndg, hakika hapa utakuwa umetukisea wasomaji wako, embu fanya kama vile ambavyo mpango wako ulikuwa hapo awali na siyo kwakupangiwa na watu humu ndani
Samahani kama nitakuwa nimesema vibaya ndg,
 
Back
Top Bottom