Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kaka INSIDER MAN
Kwa niaba ya wapenda/wafuatiliaji wa stori zako, nakuomba utuletee mwendelezo leo hii kama ulivyotuahidi. Kususa au kutokuileta stori kutawapa credit wapingaji wa hii stori.
Nakuomba sana ndugu yangu, historia inaonyesha hakuna kitu au mtu ambaye atakubalika na watu wote katika dunia hii, hata mitume ya Mungu ilipingwa hata Tanzania yetu sio raia wote wanaomkubali kuanzia Rais wa kwanza Mwl.Nyerere mpaka rais wa sasa Mh.Mama S.S.Hassan, hata nchi zilizoendelea pia ni hivyohivyo hakuna mtu atapendwa na jamii yote inayomzunguka wapo watakaomponda na kumpinga.
Hata Mungu mwenyewe aliyeumba binadamu na dunia wapo watu ambao wanapinga uwepo wake.
Kwahiyo ukiwa kama msomi wewe endelea na stori ili watu wajifunze kupitia stori yako.
Achana na wapingaji watatutoa kwenye reli.
Kwamfano huyu jamaa 2025DG analeta upinzani kwenye hii story halafu anasema "hajawahi kuwa na mashaka na story za UMUGHAKA na Analyse kwasababu stori zao zina uhalisia". Sipingani nae kwasababu ni mawazo yake hata mimi pia ni mmoja wa wapenzi na wafuatiliaji wa story za hao waandishi.
Lakini kiuhalisia hakuna storyteller yeyote humu Jf ambaye ameleta story yake halafu hajakutana na upinzani, hata hao aliowasema "hana mashaka nao" walitokea watu wakasema story zao ni chai na upinzani ulikuwa mkubwa lakini waliendelea na story mpaka mwisho na hii ndiyo sifa ya mwandishi kufikisha ujumbe aliokusudia kwa hadhira yake haijalishi itapokelewa vipi iwe chanya au hasi.
Kwahiyo hakuna story humu ambayo itaungwa mkono asilimia zote
Binafsi nawaheshimu storyteller wote ambao huacha muda wao na kazi zao kwaajili ya kutoa elimu,burudani,hamasa n.k kwa jamii hususani hapa JamiiForums.

Kaka tunaendelea msijali, nataka niwape episode 2 leo, Mwanaume kamili unaanzaje kususa?
 
Umeandika kichawa kwa lengo la kutaka.

Kuendelea kumbembeleza msimuliaji aendelee na stori.

Sipo hapa kumpinga Ila kitendo cha kusema story ni ya kwel.

Ndo kitu njnachoohoji nimeuliza maswali ya msingi hakuna hata moja nililojibiwa.

Unajua watu mnatetea ugali wenu kwa kutaka kazi ionekane nyepesi utungaji ilhali tunaona ushigongo mwingi kwenye hii stori.
 
Kipindi Cha nyuma nilikuwaga mkozoaji ktk story za watu nikapata upinzani mkubwa mno Basi nikaacha SAS HV mm nikusifiaaa tu mwanzo mwisho of which wadau hawataki ukosoe Wala kuhojihoji

So kakaa sifiaaa hta Kama unaona chai usiandike hapa utatukanwa na mtu Hadi wa namanyiree au namtumbo huko
Acha niendelee pale ulipoishia
 
Kutana na lyn au copy yake live. Wabishi endeleeni kubisha tu eti kwamba jamaa anaweka chai. Kula chuma hicho (unfathomable Beauty)

Lyn
 
Attachments

  • Screenshot_20230729-153233.png
    Screenshot_20230729-153233.png
    139.9 KB · Views: 137
  • Screenshot_20230729-153334.png
    Screenshot_20230729-153334.png
    155.5 KB · Views: 130
Namna unavyo argue vitu umu ndani mtu anaweza determine umri ulio nao maana kwa mtu ambae amesha kua exposed na maisha hivi vitu hata hawezi shangaa ila nyie vijana wa kisasa ndo mnaona ni vitu vya ajabu wakati bongo hii kuna watu wana spend mpaka mishahara ya mabosi wenu ofisini kwa usiku mmoja
refer attachment
Umeamua kumpa kijana kuwa 2M ni ya kuvutia Shisha na Moet chupa Moja😀😀😀😀
Akajambie mbele kuleeee...
 
Usiwe unajibu kila comment mkuu, wengi wa wanaojitia ujuaji NI wageni humu jf na wengi wao wanaishi huko Namtumbo na wengine ni walimu wa shule za Msingi huko Tandahimba

Mtu anayelipwa Mshahara Laki 3 si rahisi kuamin kuwa hapa Tanzania kuna binadam wanaolipwa zaidi ya Mil 50 Kwa mwezi.
Venye mtu analipwa Moet😀😀😀😀
 
2025DG kubishana na huyu mwamba ni kumpa attention tu ya bure na kupoteza mda anaenjoy kuona wengi wanamjibu just msimpe attention na msimjibu muone kama ataendelea[emoji4]
Umekuwa mjinga wa kwanza ungekaa kimya ungepungukiwa na kipi.
 
punguza chai zisizo na maana kama story imeisha sema ukweli sio kuongezea Hadith zisizo na maana za kufikirika....ulianza vizuibut mwishoni sifa zikakujaa kama kawaida yenu madereva..

Mnapenda kujisifia Kwa mamb yasiyo na maana!!refer madereva wenzako tabia zenu.
Yah unachoongea mwanzo story ilihakisi ukweli Ila sifa zimemzidia ameamua adanganye tu kaona mafala yamekuwa mengi humu ndani.kula kulala
 
Back
Top Bottom