Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

aanze tu na ubalozi wa Us wanapo tangaza nafasi za kazi hua wana onesha na annual salary ya kazi ambayo hata mkuu wa idara kibongo bongo hafikishi kwa mwaka ...
apo mtu ana lamba 49M / annual ukifika managerial position uko si ndo kijana utaanza temea watu mate barabarani 😂😂
Balozi nyingi programme officer/manager tunakunja kuanzia 70m-100m kwa mwaka sembuse hao sent staff kama mama yake Irene.
 
Kila nikifungua hii thread nakuta bado majibizano yanaendelea.
Hapa mkuu INSIDER MAN kwa ushauri wangu ili majibizano haya yakome bora uipost hiyo episode mpya (mwendelezo).
•∆hii itawafanya watu wote kuleta utulivu na umakini kwenye usomaji, kwasababu humu jukwaani kuna wale wanaojibu hoja kuitetea story na wale wanaoleta hoja za kupinga hii story, lakini wote hao wanaisoma hii story na kuifuatilia vizuri sana.
WEWE SHUSHA NONDO UONE WATU WATAKAVYOTULIA NA KULETA UMAKINI.
 
Kipindi Cha nyuma nilikuwaga mkozoaji ktk story za watu nikapata upinzani mkubwa mno Basi nikaacha SAS HV mm nikusifiaaa tu mwanzo mwisho of which wadau hawataki ukosoe Wala kuhojihoji

So kakaa sifiaaa hta Kama unaona chai usiandike hapa utatukanwa na mtu Hadi wa namanyiree au namtumbo huko
Mkuu kwa faida ya walaji, mimi sitaacha kupiga kelele pale maslahi ya walaji yanapotaka kuchezewa. Haiwezekani mtu anafanya udanganyifu halafu nikae kimya. Kama sehemu haina uhalisia basi nitasema ili mtoa mada apunguze uongo.
 
Hakuna aliyepigwa ban we dada acha uongo, mtu apigwe ban kwa sababu ya kutoa maoni yake?

Mtoa story alete story ila aache uongo la sivyo spana zipo palepale.
Sasa we una uhakika gani kama hii stori sio ya kweli?kama wewe hutaki kusoma si uwaachie wanaotaka?
 
Insider ndg, tupe uhakika kama utaleta muendelezo au ndiyo umesusa mkuu maana ni siku nzima inaisha tunachungulia lakini wapi, basi sema neno tujue kama tuendelee na mishe zingine au laah mkuu
 
Kama ulikua humjui Marry Dadake Prisca
FB_IMG_1690649792195.jpg
 
Demu Ana mabiashara ya million kadhaa anashindwa kununua ist ya million 15.

Anaenda kupanga kwenye flat ya kusalimiana na majirani kama tandale au tandika.

Yaani chai imezidi sukari


Kubali kataaa
soma vzr ndugu utaelewa
 
Back
Top Bottom