INSIDER MAN
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 2,005
- 19,579
- Thread starter
- #1,521
It seems like you are well connected, naomba nisafirie nyota mkuu. Kama una network ya watu wanaohitaji a delivery guy then I'm the guy.
Me nimemaliza chuo November mwaka jana na degree ya management of social development. Ninaishi Kigamboni na meanwhile nafanya deals za hapa na pale (sourcing, procurement na delivery...yaani watu wananiagiza huku na kule kununua vitu na kuvifikisha kwao kisha wananipatia hela ya kula).
Nina uzoefu wa kuendesha gari kwa miaka 6 now though sina driving license. Nina umri wa miaka 24, na niko very presentable and reliable. Naongea lugha nne(Kiswahili, English, French na sign language) kwa ufasaha mkubwa kabisa.
Njoo PM mkuu.