Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

It seems like you are well connected, naomba nisafirie nyota mkuu. Kama una network ya watu wanaohitaji a delivery guy then I'm the guy.

Me nimemaliza chuo November mwaka jana na degree ya management of social development. Ninaishi Kigamboni na meanwhile nafanya deals za hapa na pale (sourcing, procurement na delivery...yaani watu wananiagiza huku na kule kununua vitu na kuvifikisha kwao kisha wananipatia hela ya kula).


Nina uzoefu wa kuendesha gari kwa miaka 6 now though sina driving license. Nina umri wa miaka 24, na niko very presentable and reliable. Naongea lugha nne(Kiswahili, English, French na sign language) kwa ufasaha mkubwa kabisa.

Njoo PM mkuu.
 
Kwanza tumpongeze mwandishi
1. Kujitoa kwake kutupa burudan
2. Muda wake
3. Elimu maisha, yapo ya kujifunza.

Kuhusu kuwa chai au sio chai, sio ishu kubwa. La msingi n burudani. Hata chai si kila wakati inatumika kama kifungua kinywa.
Simulizi bila vionjo haina radha. Hata chai na sukari tupu hainogi.

Insider man lete uhondo kaka
 
Mkuu kama huna hela ni wewe nimejaribu kuangalia na post zako inaonekana uko desperate sana na maisha. Tafuta hela ndugu hata post zako ninaonesha kama una chuki na jamaa.

Mtoa mada hawa watu wanaharibu thread yetu unaweza kuwatia Block, subirini uzi uishe ndo maswali yaanze hata mimi nina maswali mengi sana ya kuuliza.

Kwenye hii story kama hizi vitu ambavyo vinaongezewaga ni maneno ili kutia hamasa kwa msomaji ila matukio naamini ni ukweli 100%.

kama unafanya Uber hujakutana na hizi bhati bhasi unagundu na mikosi nenda kaombewe. Nina Uber nayemjua vzuri kabisa ana dem wa kizungu na ni mkali hatari, jamaa anasema alimpata kupitia Uber na ndo kazi yake mpaka sasa. Jamaa alisema huku anaingiza pesa kibao sana hata kuajiriwa hatamani kwa sasa.

Kuna watu wanabahati ya nyota by nature, kama wewe hupati hizi bhati bhasi riziki yako iko sehemu nyingine.
We kima.
Sio wetu jf tuko real kwa taarifa yakp nina Acc 10 zote nazitumia nitakavyo na kila moja nimebeba uhusika wake .

Kama utaafuatilia hii unapoteza muda wako
 
Mzee inaonekana wewe Bongo umekuja jana, Coco beach inajulikana International ni Beach moja maarufu sana na pia ipo kwenye moja ya vivutio vya beach za Tanzania. Cocobeach wanakwenda watu wa kila dizaini sio matajir wala Maskini, mzee unavitu vingi huvijui bado.
Coco beach inajulikana international ipi na wewe ?

Utakuwa muha wewe sio bure.
 
Kuwa mstarabu ndg ficha upumbavu na ujinga wako, huenda ikawa wewe unatabia za kike hivyi uki hapa kutafuta wanaume, na kwa bahati mbaya sana kwako wanaume wote tulio humu tunampenda sana Mungu hatupo tayari kufanya huo ufedhuli wako, mjinga wewe?
Wewe kima tunapangiana maisha sio.

Dunia nimekuja kwa muda wangu acha niandike ninachojisikia
 
Usiwe unajibu kila comment mkuu, wengi wa wanaojitia ujuaji NI wageni humu jf na wengi wao wanaishi huko Namtumbo na wengine ni walimu wa shule za Msingi huko Tandahimba

Mtu anayelipwa Mshahara Laki 3 si rahisi kuamin kuwa hapa Tanzania kuna binadam wanaolipwa zaidi ya Mil 50 Kwa mwezi.
Mkuu uwe na nidhamu na Tandahimba tafadhali, hao ni watu wa Kigoma. Ahsante!
 
INSIDER MAN mimi ninacho shangaa ni maisha yangu ya kimaskini sana naona mtu anatoa necklace na watch ya milioni 30 huku akitoa simu ya iphone 13 pro bila shida yoyote......basi wengine tunasindikiza tu maisha mkuu ila wewe ulikula vizuri sana hongera......ujue pia ulivokuwa pale kwa uncle uliteseka sana, vipi yule mke wa uncle anaendeleaje???...

Ukipata pesa vitu vilivyo elezewa hapa ni kawaida kabisa wala sio chai
 
We kima.
Sio wetu jf tuko real kwa taarifa yakp nina Acc 10 zote nazitumia nitakavyo na kila moja nimebeba uhusika wake .

Kama utaafuatilia hii unapoteza muda wako
Inaonesha jinsi ulivyo boga kichwani sasa kuwa na Account 10 jf ni akili au matope? n unajisifia una account 10. Halali uendelee kulalamika maisha magumu kama akili zenyewe ndo hizi ulizonazo.

Kama tunatumia fake IDs na bado una account 10 bhasi nyie ndo Matapeli wa humu JF.

Mkuu unagundu kasafishe hio nyota asee, thread zako zote nimezisoma naona unalia maisha magumu, hasira zako unamalizia kwa Insider.
 
Oyaaaaa...mnazingua mnaleta mabishano yasiyo ya msingi mnachelewesha muendelezo wa stori,sasa ikiwa ni kweli au uongo bado story ina matokeo chanya kwa maana inakufungua ubongo kufikiri kwa namna ya kujenga,kujiongeza thamani n.k.

Kama mtu unejikatia tamaa kwenye maisha yako usisambaze sumu kwa watu wengine,pambana na hali yako.
 
Back
Top Bottom