Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Eti huyo iryn ana pesa lakini siku wamegongwa akashindwa kumpa laki 7 akanyooshe gari mpaka wakamkaba mlevi aliyewagonga akaweka bond iphone.

Bata kwa siku wanapiga mpaka la laki 7 lakini kunyoosha gari mziki.
Acha mambo ya ajabu mkuu inaonekana wew haujawah miliki Gari inamaana Kama Wew Una hela mtu akikugonga tena akiwa amelewa umuache tu Kisa Una hela ya kufix Wew inaonekana hauna hata gari yenyew sema tu unataka kumkatisha tamaa INSIDER MAN
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Kuwa mstarabu ndg ficha upumbavu na ujinga wako, huenda ikawa wewe unatabia za kike hivyi uki hapa kutafuta wanaume, na kwa bahati mbaya sana kwako wanaume wote tulio humu tunampenda sana Mungu hatupo tayari kufanya huo ufedhuli wako, mjinga wewe?
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.

Kutokana na wewe ulivyosoma story toka mama J aondoke kwao ni muda gani?
 
NAONA MMEAMUA KUMTETEA BWANA WENU.

Tajiri niliobahatika kukutana nao ni wagumu Sana kwenye malipo.

Swali langu nauliza Hata kama story ni ya ukweli.

Ila kwa mtu mwenye jicho la tatu lazima ujue msimuliaji kaamua kuongeza sukari kunogesha genge.

City vingi anavyooongea havina.uhalisia na haviendani na maisha ya sasa.

Kama iryn aliweza Kubagain nae malipo mwanzoni kabisa mpaka ikawa laki 3 sidhani sass ataweza kuwa mrahisi kutoa hela ovyoovyo kwa kiasi hicho.

From no where muajemi anakupa million 3.

From no where prisca tena mwanafunzi wa chuo anakupa laki 3.

Ofa unapata wewe tu.

Hadi umemsahau mke wako.

Mzee hizi kamba zako tumegundua usitupange Sana punguza.
Halafu alivyomgonga prisca akamuachia 10k,mtu wa kupewa 300k,500k..unampaje demu 10k?
 
Mkuu kama huna hela ni wewe nimejaribu kuangalia na post zako inaonekana uko desperate sana na maisha. Tafuta hela ndugu hata post zako ninaonesha kama una chuki na jamaa.

Mtoa mada hawa watu wanaharibu thread yetu unaweza kuwatia Block, subirini uzi uishe ndo maswali yaanze hata mimi nina maswali mengi sana ya kuuliza.

Kwenye hii story kama hizi vitu ambavyo vinaongezewaga ni maneno ili kutia hamasa kwa msomaji ila matukio naamini ni ukweli 100%.

kama unafanya Uber hujakutana na hizi bhati bhasi unagundu na mikosi nenda kaombewe. Nina Uber nayemjua vzuri kabisa ana dem wa kizungu na ni mkali hatari, jamaa anasema alimpata kupitia Uber na ndo kazi yake mpaka sasa. Jamaa alisema huku anaingiza pesa kibao sana hata kuajiriwa hatamani kwa sasa.

Kuna watu wanabahati ya nyota by nature, kama wewe hupati hizi bhati bhasi riziki yako iko sehemu nyingine.
 
Attachments

  • IMG_2025.jpeg
    IMG_2025.jpeg
    119.3 KB · Views: 71
Acha mambo ya ajabu mkuu inaonekana wew haujawah miliki Gari inamaana Kama Wew Una hela mtu akikugonga tena akiwa amelewa umuache tu Kisa Una hela ya kufix Wew inaonekana hauna hata gari yenyew sema tu unataka kumkatisha tamaa INSIDER MAN
Huyo jamaa ni Uber ila inaonekana kama ana wivu kwa Insider yeye hizi bahati hapati inawezekana akawa hana mvuto pia. Maana madem sikuzote wanapenda kufanya kazi na wanaume wenye mvuto.
 
Halafu alivyomgonga prisca akamuachia 10k,mtu wa kupewa 300k,500k..unampaje demu 10k?
Sijui kama Kuna watu mnawaza logically.

Prisca mtoto Wa kishua utamuhonga Hela ngapi!?

Jamaa ni kijana anaejitafuta Hajawa na uwezo wa kuhonga mamilioni. Mnalaumu bure.

Hata Mimi ningekuwa insider ningempa hio hio nauli ya Uber.

Tumie kichwa kufikiri sio kufugia nywele.
 
Tena demu wa.dau la dola 10000 anamsifia mzuri anakaa coco beach kizembe zembe tu
Mzee inaonekana wewe Bongo umekuja jana, Coco beach inajulikana International ni Beach moja maarufu sana na pia ipo kwenye moja ya vivutio vya beach za Tanzania. Cocobeach wanakwenda watu wa kila dizaini sio matajir wala Maskini, mzee unavitu vingi huvijui bado.
 
Mkuu kama huna hela ni wewe nimejaribu kuangalia na post zako inaonekana uko desperate sana na maisha. Tafuta hela ndugu hata post zako ninaonesha kama una chuki na jamaa.

Mtoa mada hawa watu wanaharibu thread yetu unaweza kuwatia Block, subirini uzi uishe ndo maswali yaanze hata mimi nina maswali mengi sana ya kuuliza.

Kwenye hii story kama hizi vitu ambavyo vinaongezewaga ni maneno ili kutia hamasa kwa msomaji ila matukio naamini ni ukweli 100%.

kama unafanya Uber hujakutana na hizi bhati bhasi unagundu na mikosi nenda kaombewe. Nina Uber nayemjua vzuri kabisa ana dem wa kizungu na ni mkali hatari, jamaa anasema alimpata kupitia Uber na ndo kazi yake mpaka sasa. Jamaa alisema huku anaingiza pesa kibao sana hata kuajiriwa hatamani kwa sasa.

Kuna watu wanabahati ya nyota by nature, kama wewe hupati hizi bhati bhasi riziki yako iko sehemu nyingine.

Huwezi kumblock mtu, acha aendelee kuuliza inaonekana bado hajui mambo mengi,
 
Back
Top Bottom