Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Endapo insider ataamua kumfungulia Muajemi na akaingia ndani na kumkuta irine ndani tayari kitaumana nadhani alikuwa amemletea ile 5M aliyoiomba kwa vyovyote vile muajemi atajua kuwa kumbe insider anamkula Irine na hivyo uwezekano mkubwa wa kuikosa hiyo 5M ni mkubwa na kitakuwa kimeumana.Ni swala la muda tu tusubiri tuone.
 
Hivii KWA mfano ukisafiri humu humu Tanzania au afrika mashabiki KWA ndege huhitaji maswala ya Visa au passport
 
Kwa mamlaka halali niliyo nayo au nisiyo nayo namuamuru mleta hadithi ahakikishe hadi kesho jumapili awe ametuma muendelezo.

Aidha.
Kitendo chochote cha kukaidi agizo hili itakuwa ni uvunjifu wa KATIBA ya jamhuri HURU cha kuwanyima wananchi wa Nchi HURU uhuru wao wa kupata habari na adhabu yake ni kifungo cha miezi miwili,,,faini ya shilingi moja au vyote kwa pamoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…