Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

niombe radhi kwa watu niliowakwaza kwa kupost muendelezo ilihali mimi sio mhusika. niombe radhi pia kwa mkuu INSIDER MAN maana naweza kuchanganya wasomaji wake, lakini nia yangu ilikuwa njema tu ya kuchangamsha wasomaji na hakuna kingine zaidi ya hapo.
tuwiane radhi wote tuna arosto kwa niliowakosea am very sory kwa waliochangamka na muendelezo wangu ndio wabongo tunavoishi kwa utani ambao unalengo la kutuweka pamoja.

AM VERY SORY TO EVERYONE.
 
Hauna baya mkuu,kuwa na amani kabisa.
 
Nie watu bana, kwanini hamkifunga mlango sasa, mtapigwa bastola leo[emoji26]
 
Jamani unatuchanganya, nikajua insider kumbe kocha nabi lol, umejua kituingiza chaka[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Kajua kutukomesha naye anaonekana msimuliaji mzuri

Nilikuwa naifatilia Peniela aiseee!! Ile story kali
Kajua kutukomesha naye anaonekana msimuliaji mzuri

Nilikuwa naifatilia Peniela aiseee!! Ile story kali
Halafu hio story niliianzaga tu hata sijaimaliza! Yani niliishia episode na mwanzo mwanzo kabisa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…