Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 4,817
- 14,925
Mfano wa iryn ni huyu hapa..jiongezeni
Ndani ya week episode 3+Mdugu zangu nitamalizia hii story sababu ya heshima ya JF. Kuna watu wengi wamenitumia ujumbe na watu ambao nawaheshimu wameomba nimalizie story.
Nimegundua story inafuatiliwa na watu wengi sana mpaka sasa tuna views almost 400k ni watu wengi sana.
Nitawapa mwendelezo na huu mwezi 8 story yetu itakuwa imeisha yote.
Kitu kingine sitajibu swali lolote kwa mtu atakayeuliza, ila nitajibu maswali yote baada ya kumaliza kuandika story.
Naomba heshima iwepo kwenye uzi kusiwepo na watu kutukanana sio jambo jema sisi sote ni Watanzania japo kuna foreigners pia wanapitia huu uzi. Kwa mtu ambaye atakiuka na kuleta taharuki nitamreport kwa mods waangalie namna ya kudeal naye.
Kama unaona huwezi kwenda na hii story unaweza uka ignore huu uzi, ukaacha watu ambao wako tayari kusoma.
Nilikua naomba mfanye maamuzi nyinyi wenyewe;
1. Niandike Epsode zote then nizipost?
2. Ndani ya week niwe napost episode 3?
Option ipi kwenu itafaa?
BY INSIDER MAN
Wewe shida ndo hii ya kukaa tunasubili muda wote ni bora akaandika na kuzipost zote mara moja ndo inakuwa safi tupunguze presha ya kukaa muda wote tunasubiliaNdani ya week episode 3+
Hivi Lege yupo jamani kitambo sanaIlikuwa nzuri, lege alikuwa analinga kuileta basi watu walikuwa wanagombana
Mzee Pama ana balaa kinomaNimepata role model wangu kwenye hii story mzee pama
Hivi Lege yupo jamani kitambo sana
Ile arosto ilibidi nilipie kwa mwandishi akanitumiaga yote whatsapp kitambo sana
Ilibidi nimcheki wasapp akanipa yoteIlikua nzuri, akawa anakuja mwenyewe Patrick CK kuleta story zake
Chai zimo nyingi tu humu tukipata mapumziko si mbaya.Mkuu na chai ipo kidogo haiwezekani mlango unaojifunga kwa kad akaweza kufungua akiwa nje bila kufungua wewe ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuandika vizuri kumbe unajua[emoji1787][emoji1787]Kabisa mkuu story tamu sana hii inatufunza mamboo mengi sana kimahusiano kiuchumi kijamii .. I like it!
Huyo Prisca,,,,,bado hajafikia kiwango cha irene
Aliyeandika hiyo episode sio yeyeMkuu na chai ipo kidogo haiwezekani mlango unaojifunga kwa kad akaweza kufungua akiwa nje bila kufungua wewe ndani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]