Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sahih
 
πŸ˜πŸ˜†πŸ˜„πŸ˜„
 
πŸ˜„πŸ˜†πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… dah? Umetisha! Respect!
 
Mkuu sijawai kuwa na hio historia kabisa, naamwamini Mungu.
Mshukuru sana mama yako ndo anakutegemeza kwa maombi! Mungu hasaidii mtu by default! Lazima pawepo mtu live anakuombea! Wengi tunasemaga kirahisi tu kwamba "namwamini au namtegemea Mungu" wakati kuomba uombi, hutoi sadaka, kanisani uendi, wakati huohuo madhambi kwa saana! Nakwambia hutoboi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…