Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Duuh unaacha mapicha picha kwenye simu...nyie wanaume mtatuua wake zenu kwa presha...
 
Natafakari story inasema, jinsi biashara ya uber ilivyonikutanisha na mrembo wa ajabu.. Alafu kuna sehemu isnider man kasema namna biashara ya uber ilivyomuchia kumbukumbu ambayo hataisahau maishani..hii inaleta picha kwamba hadi leo nikwamba iryn hajulikani halipo wala mama janet pia na muajemi hii natafakari sana ngoja tuone.
 
Afisa mfawidhi kiongozi mwandamizi Watu8 , huku naona hali si shwari tena ndugu yangu.

Huyu jamaa yetu naona jahazi linazama, na Kwa hizi tashwishwi sioni tena kimasihara ikitokea baina yake na Iryn, Prisca kaleta balaa, wife na picha za kwenye simu ndio msiba mwingine, kana kwamba haitoshi, Iryn hajulikani alipo na INSIDER MAN ndio mtuhumiwa wa kwanza endapo wataamua kwenda polisi.

Uzuri ni mambo yaliyopita naamini jemedari Sasa hivi anaendelea na maisha kama kawaida.

Insider umesema Ile beach inaitwa garden upepo? Nataka nikapoteze muda hapo.
 
INSIDER MAN unamsifia huyo Iryn ushamjua Antonnia mkuu...huyu dada ni so romantic mbaka sielewi but ndo hvyo she is my friend now nataka awe ndugu yangu kabisa in short nampenda dada angu
Wee Advicer acha masihara mkuu kwa uzuri gani nilionao???? Sina uzuri wowote hata sema nini Asantewa kunikejeli!!
 
Patamu hapoo 😂🤣....picha linazidi kukolea
 
Kafru maiti manake nini mkuu? 😎
 
Yap...! Hao Iryn na mama Janet sio binadamu wa kawaida. Wanaweza wakawa ni majini. Kama sio majini ni majasusi wa nchi ingine. Ndio maana ya mwanamke wa ajabu. Halafu we jamaa mzembe ujue,unaacha simu kizembe na ina mambo mengine?
 
Yap...! Hao Iryn na mama Janet sio binadamu wa kawaida. Wanaweza wakawa ni majini. Kama sio majini ni majasusi wa nchi ingine. Ndio maana ya mwanamke wa ajabu. Halafu we jamaa mzembe ujue,unaacha simu kizembe na ina mambo mengine?
Uzembe wa hali ya juu,anapenda kujitafutia mabifu na wife huyu
 
Bwana insider naona anafanya mambo yake kizembe sana iryn hajulikani alipo ila wanshauriana wataenda kumtafuta kesho , umeoa ila unapiga picha za mahaba na unakaa nazo kwenye simu zipo kwenye gallery ni bora angezificha hata kwenye email huko sehemu ambazo anajua mke wake hawezi kukagua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…