Smart Gang
JF-Expert Member
- Nov 16, 2022
- 2,023
- 3,434
Janeth RutoMama janeth yupi mkuu?
Mama janeth magufuli
Mama janeth mseven
Janeth kagame
Janeth RutoMama janeth yupi mkuu?
Mama janeth magufuli
Mama janeth mseven
Janeth kagame
Mama janeth yupi mkuu?
Mama janeth magufuli
Mama janeth mseven
Janeth kagame
Sasa mam Janet amtekaje iryn Tena ??ili apate nnHii inaonyesha dhahiri Mama Janeth amefanya mchongo wa kutekwa kwa Iyrn then akahama alipokua akiishi Lakni pia Muajemi ananipa wasiwasi maana tangu apate taarifa kuwa Iyrn amepotea Muajemi aliomba kukata simu haraka then akakaa kmia mpaka muda huu hajataka hata kukuulizia kuhusu Iryn, means alipokata simu atakua aliwapigia majambazi wake aliokua amewakodi kwaajiri ya hyo kazi ili kuwauliza kama wamefanikisha kumteka Iyrn.
Muajemi ana mke huko kwao sasa muda wa kuulizia ishu ya mchepuko Iryn ataipata wapi?.Hii inaonyesha dhahiri Mama Janeth amefanya mchongo wa kutekwa kwa Iyrn then akahama alipokua akiishi Lakni pia Muajemi ananipa wasiwasi maana tangu apate taarifa kuwa Iyrn amepotea Muajemi aliomba kukata simu haraka then akakaa kmia mpaka muda huu hajataka hata kukuulizia kuhusu Iryn, means alipokata simu atakua aliwapigia majambazi wake aliokua amewakodi kwaajiri ya hyo kazi ili kuwauliza kama wamefanikisha kumteka Iyrn.
mimi naona mke wa Grizzman hapo kama kafanya mambo yake, wanawake sijui kwanini hampendi kushea dudu na wenzenu 🤣Sasa mam Janet amtekaje iryn Tena ??ili apate nn
Hi ngoma imechezwa na muajemi
Ova
Mkuu kwenye maisha changamoto zipo sana kwahy nilizitarajia zitakuja tuduuuh kwamba mwana alikuwa anafaidi
AiseeINSIDER MAN unamsifia huyo Iryn ushamjua Antonnia mkuu...huyu dada ni so romantic mbaka sielewi but ndo hvyo she is my friend now nataka awe ndugu yangu kabisa in short nampenda dada angu
Acha ubabe.Bado nasisitiza story ulete week end ijuma jmoss na jpili ,ova
Katikati ya week Ni kufunja mkataba wetu and these will never be tolerated ...
Mwenye malalamiko ajitokeze
Sehemu ya 37 simu imekutwa ndani na boss Iryne bado hajulikani alipoWacha tusubirie episode inayofuata tuone!
Janeth SamiaMama janeth yupi mkuu?
Mama janeth magufuli
Mama janeth mseven
Janeth kagame
Uwiiii hatari hio!!Sehemu ya 37 simu imekutwa ndani na boss Iryne bado hajulikani alipo