Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER MAN kwanini unakuwa ni mtu wakupelekeshwa na kupangiwa na watu, mwanzoni ulikuwa unaleta story kadiri ulivyopata muda, lakini baadae wakaja watu wakatibua mambo mwisho wa siku ukasema utakuwa unaleta story ijumaa, jumamosi na jumapili halikuwa na pingamizi hilo lakini kadiri muda ulivyokuwa unasonga ukawa unaleta story kulingana na muda unaopata kufanya hivyo na hatukuwa na shida sasa leo hii anapotokea mtu na kukupangia ulete story weekend na wewe unakubali, je itakuwaje ikifika hiyo weekend alafu ukawa na mwingiliano wa ratiba inamaana hutaweza kuleta story, maana utakuwa na ratiba nyingine,
Ushauri wangu kwako embu jitahidi kufanya vile ambavyo umepanga kufanya toka hapo awali ulipoamua kuanzisha story hii ili jamii ijufunze kupitia wewe na nikuombe usipangiwe na mtu, utakapopata muda hata kana ni jumanne wewe leta story yako na siyo kuwa mtu wa kupangiwa ndg,
Samahani kama nitakuwa nimekukwaza ndg
Nakazia...
 
Moja kati ya selfie ya iryn aliyopiga na simu yake iPhone 14 Pro max hii alipewa na mhispania mmoja ambae alikua bongo.
20230823_185553.jpg
 
Usifanye hvyo mkuu,We tupia tupia kila unapopata nafasi!

Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app
Insider man angalia jinsi followers wako wengi walivyo na kiu ya kujua hatima ya Iryne.Ombi langu ili kuondoa sintofahamu ya kila mtu kuja na lake utuletee kipande hiki muhimu kinachosubiriwa sana na followers wako wa kisa hiki bila kujali kufika weekend.
 
Mkuu INSIDER MAN kama iryn atakua kafa sitoendelea tena na hii story yako.. ila arosto mbaya sana.
 
Back
Top Bottom