Mario Gomez
JF-Expert Member
- Nov 1, 2011
- 818
- 579
Insider man angalia jinsi followers wako wengi walivyo na kiu ya kujua hatima ya Iryne.Ombi langu ili kuondoa sintofahamu ya kila mtu kuja na lake utuletee kipande hiki muhimu kinachosubiriwa sana na followers wako wa kisa hiki bila kujali kufika weekend.Usifanye hvyo mkuu,We tupia tupia kila unapopata nafasi!
Sent from my Infinix X683 using JamiiForums mobile app