Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sure, alafu pia kitendo cha kukubaki kuwa dalali na kumuuza Iryn kwa muajem hili ni pigo kubw sana maana ikitokea kuwa ni muajemi anahusika na kupotea kwa iryn sijui kama Insider anaweza kuja kuisamehe nafsi yake kwa tamaa za hela, maana hapa ameondoa utu wake kwa iryn na kukubali kuitumikia hela, wakati mwenzie iryn alimfanya Insider kama ndg na sehemu ya familia, naamini hata mama junior akifahamu hichi kinachoendelea baina yako na muajemi dah, ataumia sana na atakuona usiye na utu, kuhusu prisca dah, huo ni msala na mtihani mkubwa sana maana hilo ni bomu linalosubiri kulipuka anytime, na sijui why hukuchukua tahadhari mapema wakati prisca alishawahi kukutamkia kuwa anataka mzae nae, yote yote pole sana kwa uliyopitia, naamini utakuwa umepata somo kubwa sana maishani mwako
 

yan wakati anasema walipiga picha nyingi nilijua kwenye cm ya iryn[emoji23][emoji23] ila wanaume sijui mnakuaje kuna mna mnafanya mambo kwa akili ila kuna muda sasa[emoji1787][emoji1787] yani unajua kabisa cm yako ina mabomu afu unampa mtoto aangalie katuni na mama mtu yupo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119][emoji119][emoji119]

Wanaume chukueni somo hapo unapoamua kuwa msiri basi ficha kila kitu[emoji16][emoji706]
 
Lucy: Nilijua tu;
Iryn na muajemi wanaswa

Mimi: Nawaza "Hili kosa alilolifanya muajemi sitamsamehe, hata Milion 11 zake narudisha,
Kwanza kazi ya mzee Pama inanilipa sana, ukijumlisha ile ya mkataba na wale madogo wa masaki.."
Mara, Twiiiii Twiiiii kucheki Prisca anapiga...
 
Hili swala la mimba nilijua tu ni swala la muda, Siku sikia Hata Siku Moja anasema ndom ilihusika, nilitaka kuhoji lakini Mimi dume kwanza naaje kuhoji kitu kama hicho. Allahaulah ramli chonganishi imetiki.

Upande wa pili naona Kabisa mchongo wa Lyn kuvujisha picha zenu Kwa mama Junior Ili mpoteane akumiliki yeye.

Pole sana ndugu INSIDER MAN
 
Daah oyaa mzee kuna apps kama Vault muhimu sana for privacy
 
Sijawahi Kuweka Comment huku toka huu Uzi uanzishwe leo, ndo naweka, na hii Ni ya Pili kwa siku ya leo.

Hongera sana INSIDER MAN kwa Uzi Mzuri wenye Mafundisho Burudani na Heka heka za Taharuki kama zote!

Binafsi naishiaga kuweka Like tu na Ku-Subsribe uzi Huu. Ila ni Moja kati ya Uzi niliotokea kuukubali sana kwa Mwaka Huu.

Siyo vizuri kuusemea Uzi wa mhusika ambaye anaendelea na mwendelezo wake ila naomba Nibashiri kitu kweny Huu uzi.

NIONAVYO MIMI LRNE HAKUNA KIUMBE WA KAWAIDA, YEYE PAMOJA NA MAMA JANETH PAMOJA NA MUAJENI.

MASHAKA YANGU NI KWAMBA WALIPOTEA MAZIMA NA MALI ZOTE ZA LRNE AKABAKI NAZO NDUGU YETU INSIDER MAN NDO MAANA UZI WETU UNAITWA "UBER NA MDADA WA AJABU(LRNE)

Ivyo hapa kilichopo Mali zote bado zinasimamiwa na INSIDER MAN na amejimilikisha kama zake.

Msichukie maana ni maoni yangu kwa nilivyoona mimi.
 
Huku Iryn, huku mimba, huku picha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
Kivumbi leo.
 
In life, Everything happen for a reason, we learn from our mistakes.
Kiukweli uko smart sana kwenye kuziweka sawa shughuri zako. Lakini ukiingia mambo yako uko huru sana,unajiachia sana. Bahati yako tu ni moja huumizwi sana kichwa na mapenzi. Hata mama J akisema anaondoka huna presure kiihivyo. Hilo linakulinda
 
In life, Everything happen for a reason, we learn from our mistakes.

Hapa ndio umeongea Sasa. Unaweza kuwa smart au mzembe ila kama kitu kimepangwa, kitatokea tu...

Mwamba nimekwambia nikumbushe jina la Ile Beach, ni upepo beach au beach upepo? Nipo hapa Juliana nataka nikapate mishkaki huku nikitafakari Iryn alipo na tushauriane kama kamati suala la Iryn.
Namsubiria Mzee mwenzangu Watu8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…