Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Napingana na ww ....hao sio watu wa ajabu(Iryn na mama janeth) ajabu alomaanisha Insider ni mrembo kupindukia/kupitiliza wote aliowaona kwenye biashara ya uber ,halafu hana mambo meeng n.k

Haya ni maoni yangu
 
@Antonnia cuzo ukuje
 
mambo ya miaka huko unacomment kama ya jana. Na jamaa yako bado ni uber, hajatoboa bado, na hayupo tena na iryn.
 
Inawezekana pia isiwe kweli pengine anaongea kutengeneza attention yake Ili awe nae karibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…