Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

INSIDER bado episode moja tunakudai kwa leo USIZINGUE.....wacha niende bar nikaangalie VITASA ya team IBRA CLASS hope kabla sijalala nitakuta ushapost
 
INSIDER bado episode moja tunakudai kwa leo USIZINGUE.....wacha niende bar nikaangalie VITASA ya team IBRA CLASS hope kabla sijalala nitakuta ushapost
MBONA KAMA UNAMTISHIA, EPISODE SI ALITOA ALHAMIS BADALA YA IJUMAA AKASEMA SITOKUWEPO TOWN IJUMAA KWA HIYO MTAISOMA ALHAMIS SASA JUMAPILI NIMAKUBALIANO?? JIBU NI SIO MAKUBALIANO MAKUBALIANO NI IJUMAA ANASHUSHA EPISODE HADI NEXT WEEK. TUWE WASTAARABU KIDOGO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dr wa ID acha maneno na wewe umesikilizwa kwani umewakilisha wote kwa kutumia!!!

Kama haupendi kusoma Uzi wote ukakakutana na posts zake INSIDER MAN uliza urahisi tunaotumia wengine kusoma posts zake kwanza bila wasi na tukiamua kusoma wengine tunawasoma humu kama kawaida..

Waanzisha nyuzi wanaweza kurusha muda wowote na kila mtu akawasoma wao kwanza kama mtu hataki kusoma nyuzi posti kwa posti.

Anayetaka kujua aulize, ajibiwe.

Jumapili njema
Tuliaa story nachukzzwa na watu wanaolialia. Hvyo tulia insider ataleta story tu
 
Back
Top Bottom