Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Before we Proceed tomorrow, naomba kwa wale mamluki uliovamia uzi wangu naomba mfanye kuignore mapema.
View attachment 2736804
Kweli nimeamini huyu jamaa sasa ashakuwa na pigo za kidemu sasa mtoto wa kiume hatui hivyo Mr ww shusha story hata kwenye maisha maadui ni muhimu sana maana ndo wanatupa hasira za kutafuta sasa na kushangaa ww unayekataa usipingwe kama mitume iliyopita ilipingwa sembuse sisi au ww mr badilika
 
Acha kulalamika Mzee niliandika tutaendelea Jumapili au unafikir mimi sina majukum yan kufanya ni kuandika story tu. Sometimes muwe matured
 
Ila bro unaonekana ni mshamba sana. Huyo kwenye profile picture naye ni demu wako. Aiseeeeeee, bro wewe ni wa kienyeji sana. Pole na byeee nimekupuuza. Nakuweka kwenye ignore list
Huyo ni member yupo humu humu sio demu wangu. Aliniletea ujinga nikafanya yangu na kupata picha zake nikaamua kujipongeza kwa kumuweka profile picha [emoji16][emoji16] embu fikiri ww unavyo jiona mjanja kesho unakuja humu unakuta Kuna mtu kaweka picha zako kwa profile alafu hana makuu
 
Back
Top Bottom