Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kama unataka dudu sema mbona unamushkeri hivyo kwenye nyuzi za watu
We nawe ndio wale wale. Mi sijampigia wala kwa umri wangu sijamtafuta yule demu wako mbilikimo kama wanavyosema jamaa so wacha makasiriko kwangu bwana mdogo. We ndio ulikosea kuscreen shot ikatokea na namba yake. Tusamehe kwa kuiona ile namba maana dah si kwa hasira hizi.
 
madereva wa taxi mtandao hasa hasa wanaoendesha magari ni waongo hatari. Yaani ukikaa nao kijiweni story zao ni hizi hizi. mara nikambeba mama wa kizungu akanipenda akaniachia dola 200 na binti yake akaanza nishobokea nikamla na siku nimembeba rafiki yake akalewa sana nikajikuta nimelaza siti na kuanza mpelekea moto. yaani story zao wote ni story za kufanikiwa, hawajawahi kufeli.

Hii kizazi kina vijana wa ovyo sana. Sijui taifa na dunia hii tunaipeleka wapi. Just assume vijana wa ovyo namna hii ndo watakuja kuwa wazee wa busara baada ya miaka 30 ijayo.
Mkuu naomba kuuliza...ulishawahi kuwa kwenye hii field? Au na wewe umesikia story za vijiweni au huku mtandaoni?

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom