Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mzee Pama katutoka aliahidi connection ya kazi namuonea huruma Jane kwa hali aliyonayo
Antonnia
Wee kumbe!! Jamanii inahuzunisha hapo;!
Naona katupia episode kama zote walai hivi ile wiki aliishia Wapi??? Nilivo mvivu kusoma episodes nyingi mimii 😊😊!!
Ngoja nimalizie ishu nizipitie!
 
Ya Mungu ni mengi
 
Mzee Pama kaniuma jamani,ndo maana alijua mapema akatuma ule mzigo.
Nawaza Jane..Ila afadhali hata alimjengea na gari alimnunulia.
Maskini hakuweza kunuona baby boy wake.
Itakuwaje sasa mama mjengo atajua khs Jane?
RIP mzee Pama
 
Wee kumbe!! Jamanii inahuzunisha hapo;!
Naona katupia episode kama zote walai hivi ile wiki aliishia Wapi??? Nilivo mvivu kusoma episodes nyingi mimii [emoji4][emoji4]!!
Ngoja nimalizie ishu nizipitie!
Episode ya 40 Boss Iryne kaleta zawadi za INSIDER Junior Mama J na Dada Junior aliahidiwa zawadi muda huo Mama Junior uso kwa uso na Iryne.

Hii ya leo ni majonzi mzee Pama kufariki.
 
Duh, habari mbaya kuisikia hii ya mzee Pama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…