Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hakuna shida uvumilivu upo tulishazika ndugu mpaka wazazi [emoji1]

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 

Mkuu INSIDER Nataka kuingia kwenye biashara ya uber nipate dem kama prisca nipate bebe kali kama iryn nipate connection na copy ya mzee pama nifanyaje mzee
 
Muosha huoshwa pia[emoji23][emoji23][emoji23] japo kuna tofauti ya uchepukaji wanaume ni tamaa na wanawake ujue kakuchoka huyo au jamaa anampa mavituzzz[emoji1787][emoji1787]
Umenena ukweli tupu,chukua 🌹🌹yako mama
 
Mkuu INSIDER Nataka kuingia kwenye biashara ya uber nipate dem kama prisca nipate bebe kali kama iryn nipate connection na copy ya mzee pama nifanyaje mzee

Mkuu vumilia soon nitafungua CODE zote ili ufanikiwe kwenye hii Biashara na jinsi ya kukutana na hawa watu.

Nimefunga PM sababu kuna watu nilikuwa nawapa namba zangu, ila wajinga wachache wameanza kuexpose privacy zangu humu ndani. Kuna watu wanakuja PM kwa mambo yao na sio msaada.

Kuna wale ambao ni serious nitatoa email kwaajili ya nawasiliano na sio namba tena.
 
moja ya jambo ulilofanya la maana ulienda kulala kwa Prisca baada ya kutoka msibani.....ulifanya la maana sanaaa
 

Hpo utafanya la maana sana mzee babaa
 
Apumzike kwa amani mzee pama
 
Naomba ukifanya hivyo nitag
 
hivi mtu ukimuexpose mwenzio humu bila ridhaa yake unapata faida gani?

yani kuna baadhi ya watanzania wana roho za kichawi, yaani mtu roho inakuambia tu ngoja nimchunguze huyu mtu nimueke hadharani

hata chuki huanza hvi hivi kwa wema then wakifanya wao malipizi wanaonekana wabaya. hivi insider akasema haendelei na story si mtamuona mbaya.
🖕
 
Mwanangu we naomba utuambie kama utamla Iryn au lah, mimi ndio kitu navumilia kusoma hiz episode..kama humli naieleza nijikatae [emoji23][emoji23]...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]...! Bado kidogo mkuu vumilia ataliwa. Pale juzi kati hapo yeye mwenyewe Iryn alikuwa tayari kupigwa,lakini mwamba akapiga chenga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…