Kitangiri15
JF-Expert Member
- Apr 30, 2015
- 352
- 767
Naam
Kwakweli ni ujinga wa hali ya juuhivi mtu ukimuexpose mwenzio humu bila ridhaa yake unapata faida gani?
yani kuna baadhi ya watanzania wana roho za kichawi, yaani mtu roho inakuambia tu ngoja nimchunguze huyu mtu nimueke hadharani
hata chuki huanza hvi hivi kwa wema then wakifanya wao malipizi wanaonekana wabaya. hivi insider akasema haendelei na story si mtamuona mbaya.
[emoji867]
Patamu hapa .....hii stori inanoga kwl kwl na kuna mengi tunajifunza kama movie vile [emoji91]
Kausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.Hii stori chai zimejaa mpaka nimemaliza chapati zote aisee jamaa muongo kinyama yaani yeye Kila mtu ataempa hela hua anatoa kuanzia laki 3 hamna tajiri anaetoatoa hela ovyo ovyo eti nauli tu aisee uongo umejaa sana madereva Uber mnazidisha sana chai aise
Wewe ndio mshamba unataka jamaa aendelee na chai zake watu kama nyie siwezi kuwawashnagaa sababu ni majobless ukweli ndio huo Sasa wewe kalisha matako hapo usubiri chai nyingine unyweKausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.
Huwaga sisi hatubishanagi na watu kama hawa kwenye huu uzi tushakubaliana yaani unagusa tu jina yake then ANGALIA neno ignore gusa pale utakuwa umepunguza muda wa jazba,hasira na kuenjoy story.Kausha,inategemea unakutana na matajiri wa aina gani.Acha pigo za kishamba kama umeona chai weka ya kwako ya ukweli na ipate viewers wengi kama hii.
Mkuu nimeona tag yako kule sina access napo ubarikiwe sanaMwamba unaupiga mwingi..Kongole kwako bro
Hahahaa yeah umenikumbusha maana naona now mamluki mesg zao hazitambi sana yaani mtu ana snitch message moja tu anashangaa haijibiwi kumbe raia tumekubaliana ku ignore 😂Huwaga sisi hatubishanagi na watu kama hawa kwenye huu uzi tushakubaliana yaani unagusa tu jina yake then ANGALIA neno ignore gusa pale utakuwa umepunguza muda wa jazba,hasira na kuenjoy story.
Nimekuja cousin ngoja nitafute nilipoishia
Mzee jumaa ana maelekezo tayariSasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Nafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!Sasa sijui itakuwaje Insider ile Dualis maaana Jane hajui kama ni ya kwake, alafu teyari keshajengewa Nyumba na mzee Pama. Kibongobongo unaweza ukaikaushia kila mtu afe na chake nawaza tu lkn sijui wewe ulifanyaje? maana we mzee wa kuchagua dhambi...kanisani sana alafu unawalamba. any way wacha tuone ilikuaje
Huko kunaitwa kichagua dhambi, unachotamka ndio kinajengeaka... nataka kujua tu Dualis ilienda kwa Jeni?Nafsi lazima itakusuta hutakaa kwa amani!
Mali ya dhuluma haidumu unaeza pata mikosi bure