Raia mdogo
JF-Expert Member
- Jan 5, 2018
- 1,400
- 1,550
hahaha daaah!! We jamaa...Tuendeleee muajemi nayeye kaamua kutoa ndinga kaka ndinga zitajaa kwako sio poa. Naamini iryn atakwambia insider hii tumia
uwe unaacha ufala wa kuquote episode nzima. si tunaotumia simu tunasumbuka, kwanza tukiona scroll line ikiwa ndogo tunajua mzigo umeshuka kumbe wapi...Asante Kwa muda wako kaka,Tunaendelea kiburudika.
Labda si mwenye Simu huyo [emoji23]uwe unaacha ufala wa kuquote episode nzima. si tunaotumia simu tunasumbuka, kwanza tukiona scroll line ikiwa ndogo tunajua mzigo umeshuka kumbe wapi...
Kwake ni vijisenti wala haimsumbuiSababu ya utelezi tu unahonga gari tena masidis benz
Boss, simu,bando, chaji, nguvu na uamuzi vyote viko chini yangu na unanipangia nifanye nn??? Jishikilie Mzee humu hatutaki makasiriko. [emoji23][emoji23][emoji23]uwe unaacha ufala wa kuquote episode nzima. si tunaotumia simu tunasumbuka, kwanza tukiona scroll line ikiwa ndogo tunajua mzigo umeshuka kumbe wapi...
hawa wajuba wanakera mwanangu, sio poaLabda si mwenye Simu huyo [emoji23]
hahahahahaha sawa bwana, mbwa wewe...mnanikeraga ile mbayaBoss, simu,bando, chaji, nguvu na uamuzi vyote viko chini yangu na unanipangia nifanye nn??? Jishikilie Mzee humu hatutaki makasiriko. [emoji23][emoji23][emoji23]
pusherAweee sema kweli??? lol ndio natia maguu hapaaa ngoja nisome kwa kutuliaa wabheja sana!
TupoNext Episode
21:00
Mwe huu uzi mbona nitasoma bila kumaliza na uvivu wangu 🤷🏼♀️
Ngoja nissome ccy asante sana