Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

...Dah! Safi sana... Naombeni link ya sehemu ya 3... Tafadhali...

Ingia kwa link below itakusaidia kuzisoma kiurahisi as hajaweka links mwisho wa post za story yake...

 
Kuna vitu nilikuwa natafakari kuhusu kitu kama "bahati" au ni
Kuna kitu nilikuwa natafakari kuhusu mafanikio ya huyu "Insider man" ni bahati au nini? Maana si kawaida kukutana na watu ambao wote wanakuwa msaada kumsaidia kusonga mbele! Wale ambao sio anawaepuka kama yule msomali. Nikajiuliza nini siri ya "Insider man?" kwa jinsi nilivyokuwa natafakari nikagundua mara chache "Insider man" anakumbuka kwenda kanisani lakini si kiivyo na sidhani chanzo cha baraka kinatoka hapo kwasababu na yeye ana makandokando yake yakiwemo kutokuwa mwaminifu kwa mke wake (kachepuka kwa Prisca) lakini na uongo mwingi kwa mke wake na wakati mwingine kuchukulia opportunity kutengeneza hela kama kwa Muajemi akimtumia Iryn. Haya yoote mbele za Mungu (yanaweza) kumdisqualify hesitate baraka. Lakini nikakumbuka Mama yake :Insider man" ni mtu wa ibada sana na bila shaka ndiye anayembeba. Nikaja kwa Iryn! Iryn katika hii story sijaona mahali karnda kanisani (HATA SIKU MOJA). Isipokuwa nikakumbuka matedo ya ibada yanayoweza kuvuta nguvu za Mungu ambayo mama yake Iryn alikuwa anafanya na kumrithisha Iryn na yeye amekuwa akiyafanya tanayoweza kuficha matendo yetu maovu, nayo ni vile vitendo vya kutembekea wayoto yatima na kuwapa msaada!
Katika kitabu cha YAKOBO 1:27

"27 Dini iliyo safi, isiyo na taka mbele za Mungu Baba ni hii, Kwenda kuwatazama yatima na wajane katika dhiki yao, na kujilinda na dunia pasipo mawaa"

Ukitaka kujua maana halisi ya mstari ya huu: nenda kwenye tafsiri ya hasiri ya King James original version: anasema hivi:
James 1:27
Pure religion and undefiled before God and the Father is this, To visit the fatherless and widows in their affliction, and to keep himself unspotted from the world.

Hapa ndo nimegundua tunavyowaona watu wenye hela na matajiri wakifanya ibada za namna hizi alafu sisi (tiamaji tiamaji) tukiwabeza kwamba wanajionyesha wanazo kumbe hatujui kuwa hiyo ni idada iliyosafi (pure religion) kwa Mungu (God), alafu kwa Baba (Father); angalia King James alivyofafanua vizuri kuliko tafsiri nyingi. Hii ibada inavuta nguvu za Mungu kuendelea kukulinda na kukubaliki kuliko maelezo! Katika dunia hii yenye changamoto za kila aina na mapambano ya nguvu za giza huwezi ukawa mambo safi kama "Insider man" na 'Iryn' unless kuna mkono wa baraka juu yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…