Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mercedes Benz S-550 aliyotaka kupewa iryn hii hapa
 

Attachments

  • Iryn.jpg
    325.3 KB · Views: 51
FOB price ya hii benz S-550 hapa bongo ni million 400. Hapo hujaweka kodi na gharama nyingine kuiingiza barabarani! Alafu eti unamuonga mwanamke ambaye hujui atakubali au atakakataa! Rushwa za namna hii mwisho wake haziwezi kuwaacha salama! Asante insiderman kwa kuepusha hiki kikombe!
 

Attachments

  • Iryn2.jpeg
    46.4 KB · Views: 48
Dah
 
Bro kwa sisi maskini ndio tunaona ni pesa kubwa ila kwa matajiri ni kitu cha kawaida. We kuliwa 5000 ya nauli unalalamika hadi kuanzisha uzi humu JF ila kwa mwingine ni kitu cha kawaida sana tena hakimfikirishi kutoa gari hilo.
 
Huna pesa bro. We 5000 tu ya nauli hadi unakuja anzisha thread huku JF
we pia ni kiazi hujaelewa hata manik ya mm kumwta muajemi kiazi, hata insider angekubali kupeleka hyo gari angekuwa kiazi mwenzenu, kafi....mbele acha kudandika comments zinazokuzidi umri, endelea kula ugali dagaa hapo kwa dada yako
 
Kila mwenye nacho uongezewa.
 

So inategemea na mwaka? Maana hizi za 400m ni matoleo mapya na ilikuwa used so sidhani kama ilikuwa kwenye thamani hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…