Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Hapo sasa, utajibu nn iryn kaujua unankuwadia siajabu muajemi kaamua kusema ukweli,
 
Ndo shida ya watu wenye domo zege kashindwa kumwaga swaga zake anapitia na kwa mwingine ili aonekane mwema[emoji23][emoji1]

Hii imeendaaa
 
Ha ha ha kwa nini ulikuwa unanitumia mimi kupata pesa,swali gumu kweli hili aisee!!
 
Muajemi ni Dugu moja na Kondeboy kabisaa,ye anahonga ndinga kali tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…