minzakunza
Senior Member
- Oct 15, 2015
- 193
- 444
Wala hajanuna sababu ya Sumaiya kilichomuudhi ni mtu anaemuamini kumkuwadia hata ungekuwa wewe lazima ungejisikia vibayaIrene haeleweki anataka nini.
Wivu wa kike unamtesa.
Alafu ajifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu wengine.
Mambo ya faragha ya insider yeye hayamuhusu kabisa asiyafatilie .
Insider kutoka na sumaiya hio inamuhusu nn irene.??
Yeye abaki na griezman wake tu.
Hana tofauti na MwamediMuajemi kashazingua, sijui kalopoka nini Kwa Iryn? Yaani unaweza kukuta mtu ni tajiri Ila Kwa upande mwingine mweupe kichwani Hana cha maana ni mjinga mjinga Tu.
Kweli Mungu hakupi vyote Aiseeh!!
Hahahahaha Mwamedi bwana.Hana tofauti na Mwamedi
Kweli kabisa, hapo kwenye kumkuwadi ndio mbaya zaidi Iryn anaona huyu insider anamuona kama malaya anayejiuza tu na hicho ndio kinamuumizaKwakua nyinyi hamtaki kusema ukweli, acha mimi niuseme!
Kuogopa kumtafuna Iryn eti ili usiharibu kazi, alafu ukaenda kumkuwadia kwa Muajemi, ni kama kuruka majivu alafu ukatua kwenye moto!
Ni ufala chief!
Excuse my language!
Atawala ni suala la muda tu!Thank you dear, ila huyu insider anazingua, Siyo Iryn wala Mary anayeliwa....
Mpaka sahv kungetakiwa hata kuwe na story ya Mary kuliwa kimasihara kule kwenye uzi pendwa
Asante cousin ndio natia maguu saii ngoja nitulie niisome!
Wivuuu tu nayeye anamfeel Insider!Irene haeleweki anataka nini.
Wivu wa kike unamtesa.
Alafu ajifunze kuheshimu maisha binafsi ya watu wengine.
Mambo ya faragha ya insider yeye hayamuhusu kabisa asiyafatilie .
Insider kutoka na sumaiya hio inamuhusu nn irene.??
Yeye abaki na griezman wake tu.
Thanks love
Naona ameendelea ngoja tuone yaliyojiri!INSIDER kabananishwa tusubiri episode 49 kama atachomoa.
Naona ameendelea ngoja tuone yaliyojiri!INSIDER kabananishwa tusubiri episode 49 kama atachomoa.
Ni vitu vidogo ila vinajenga picha nyiiingi sana kichwani na mtazamo tofauti juu ya mtu ,iryn naona yuko sawa kumind baada ya kujua ukwl sema daaah INSIDER MAN pole sana nakujua kuna wanaume wana sifa kama zakina Sumaiya kama MuajemiKweli kabisa, hapo kwenye kumkuwadi ndio mbaya zaidi Iryn anaona huyu insider anamuona kama malaya anayejiuza tu na hicho ndio kinamuumiza