Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Umeona eeehhh!!!Ukikutana na mwanamke asiye na hizo njaa 2 ,pesa na love, jasho lazima likutoke tuuuu ..yan hawa ni wao ndio wakupende vinginevyo ihiiiiiiiiii!!😂😂😂😂😂
Kiukweli mwanamke akikufeel ye hata usipompa pesa furesh tu!! Mapenzi ya pesa yana expire mkuu real love never die!
Muajemi kakutana na chumaaa hakina njaa ya vyote🤠🤠! Lazima akaeee afu Muajemi anaonekana hana sound kabisa kweli kakosa namna ya kumset iryn mpaka amwambie ukweli kuwa Insider ndie pikipiki posta???
Hapo amezingua sana!