Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Kwa ninavyozijua mind games za wanawake, Iryn amekuita hapo parking makusudi ili uone anatoka kwa nani. Pia kaamua kumkumbatia mbele yako ili uone, alikusudia kabisa kukuumiza roho!

Hayo ndio malipo ya kujifanya gentleman, ukaacha kumgonga then ukaenda kumkuwadia kwa Muajemi. What a revenge!

Ngoja tuone story itaendelea vipi. Lakini kwa sisi mabaharia, the only way ungeweza kupiga comeback hapo, ilikua ni kujifanya haujashtuka kabisa and you don't give a f@ck. Wala hata usiulize huyo ni nani. Ninge-act normal kabisa kama hakijatokea kitu.

Ngoja nione unachomoka vipi ndugu gentleman!

[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Hata mm imeniuma sana....hakuna mwanamke anakwambia nitombe ni mwanaume unashawishi.....thats why nimewahi kula wanawake wazuri wasio wa kawaida...just kwa kuwajaribu tu napewa. Hao wanawake wanaosema wanatumia akili....hawanaga msimamo kwasabu huwezi jua kesho ataamkia nn........ sasa hapo alitaka kukuonesha we ni fala tu
 
Kuna wakati kuna lecturer wa kike mchaga..mweupe alikuwa anaogopwa chuoni balaa...lakini alikuwa hana mume...siku moja tunatoka kwenye sherehe ya mkubwa mmoja...nikamuona nikamsalimu vizuri...nkamwambia kama hutojali naweza kukusindikiza sehemu ya kulala...kumbe mtu keshaanza kulewa na bia za harusi

Si akakubali nikabeba mkoba wake hao....mpaka kwake... nikamvua viatu, akanielekeza chumbani nikashusha net.. nikamkumbatia nkamwambia nakupenda siku zote....si nikapewa romance...nilipiga mzigo chapu bila kuvunga...piga mzigo kwa fujo...wazungu wanaita *** hard. Kama 2hrs nikamuacha kalala hapo nkaondoka zangu chuo.... toka siku hiyo akiwa na mood nzuri tu, ni sms tu..jioni nkuone nyumbani.

Nikawa nampanda huyo mama mpaka namaliza chuo, tena bila watu kujua.

Sasa unaanza kuleta uboss kwenye papuchi....
 
TBH sitamani insider amle iryn yani navosoma kila siku nasema insider asije mla iryn[emoji23][emoji119][emoji119] mademu wa hivo hawatakiwi kuliwa yani ni kuwalia ngumu tuu mana analeta mapozi sana kuhusu kuliwa
 
Back
Top Bottom