Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ukikutana na mwanamke asiye na hizo njaa 2 ,pesa na love, jasho lazima likutoke tuuuu ..yan hawa ni wao ndio wakupende vinginevyo ihiiiiiiiiii!!😂😂😂😂😂
Umeona eeehhh!!!
Kiukweli mwanamke akikufeel ye hata usipompa pesa furesh tu!! Mapenzi ya pesa yana expire mkuu real love never die!

Muajemi kakutana na chumaaa hakina njaa ya vyote🤠🤠! Lazima akaeee afu Muajemi anaonekana hana sound kabisa kweli kakosa namna ya kumset iryn mpaka amwambie ukweli kuwa Insider ndie pikipiki posta???
Hapo amezingua sana!
 
Muajemi hajui kucheza na akili ya mwanamke, anafundishwa kutongoza unajua kilichomuathiri muajemi ni pesa. Pesa inakufanya ujihisi mwanamke yeyote unammudu na waweza mpata muda wowote kumbe hamna kwahiyo likija suala la kutongoza unajikuta mweupe pewee peer peer ndio unajikuta unatoboa na Siri za mwanaume mwenzio.

Muajemi ni mmoja ya Kati ya wanaume wapumbavu Sana sijapata kuona.

Katika mapambano ya kumpata mwanamke hatakiwi ajue chochote kuhusu Nani yupo behind the scene Yani aliyefanikisha kilakitu Hadi mwanamke na mwanaume wakakutana na kuzungumza. Sasa analeta ushamba wake wa kiuajemi huko anatoboa Siri.

Wahindi wa waajemi Lao moja mbwa hao.
Sasa atakosa vyote, ana mkosa Iriny, ana mkosa Insider, anakosa cost zake zote alizo.wekeza. work done = 0
 
Katika watu siwapendi kwenye hii story ni Mama J na Prisca kwa sababu mama J alikusababisha ukaanza kumcheat ugomvi kidogo tu anakimbilia nyumbani yaani kaniudhi pia Prisca kaniudhi tu kwa sababu king'ang'anizi ona sasa kajibebesha mimba yaani hapo mawazo yake akibeba mimba akizaa nae atakuwa sawa na Mama J,

Katika watu uliowakosea sana ni Iryn anavyokuchukulia tofauti na unavyomchukulia yaani yeye amekufanya mtu special sana kwake lakini wewe unamuona kawaida tu ni hizo hela zinakufanya uendelee kubakia nae, tamaa ya pesa inakufanya mpaka unajitahidi kumuunganisha na Muajemi ni afadhali ungeongea nae tu kishkaji bwana Muajemi anasema anakupenda sana anataka kukuoa lakini ana wake 2 halafu uone reaction yake lakini wewe unawasiliana na Muajemi kwa siri halafu unaendelea kumsukuma Iryn huko pia kwa siri siri huu ni urafiki wa aina gani
Nakwambia! Insiderman alipitia msoto wa jobless hataki masihara kwenye hela! Yuko tayari kumuuza yeyote (naogopa kusema hata Mama J na Junior) anaweza kuwauza ili apate hela! Alichokuwa anamfanyia iryn sio poa kabisa!
 
Kuwadi si mtu mzuri wanang'ata na kupuliza Kama alivyo mtunzi wetu ...
 
Insider nenda kampikie Lyn Ugali Bamia, pita sokoni nunua mazagazaga simple tu, fika mapema pika Kwa ajiri yake. Baada ya hapo jazba zote zitaisha mengine sikufundishi kazi unajua nini Cha kufanya (Bahati mbaya hii ni past). Mimi naamini Lyn anaelewa mpango mzima maana mlienda wote Znz na Muajemi ndio alikuwa sponsor, wewe hukumuwekea dau kichwani ni chobo tu za Muajemi kukuweka sawa usimsemee mbovu Kwa Lyn

Pia nakupongeza Kwa kuchomoa betri Kwa Sumaiya, yaani umemchojoa arafu umemuacha Hata kusahahu mpaka Siku anaaingia kaburi.
 
Insider kashakuwa ntu ya deals mob...hadi salon unapiga deal..watakuchoma hao kwa Iryn ndo uharibu kabisa.
Pia Mrs Pama sijui anakuita kukupa mchongo au kukupa za uso kwa kuwa side ya mchepuko wa mzee.
Huyu Mrs Pama hana na wivu au mzungu wa roho ,maana ingekuwa mwingine kwenye msiba mbona pangechimbika...
 
Back
Top Bottom