Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Wivuuu tu nayeye anamfeel Insider!
Wee kama mtu humpendi/ humfeel huwezi umiaa wala kuingilia faragha zake kwamba mbona upo na huyu mara na yule!!
 
Kweli kabisa, hapo kwenye kumkuwadi ndio mbaya zaidi Iryn anaona huyu insider anamuona kama malaya anayejiuza tu na hicho ndio kinamuumiza
Ni vitu vidogo ila vinajenga picha nyiiingi sana kichwani na mtazamo tofauti juu ya mtu ,iryn naona yuko sawa kumind baada ya kujua ukwl sema daaah INSIDER MAN pole sana nakujua kuna wanaume wana sifa kama zakina Sumaiya kama Muajemi
 
Ccy Antonnia Mrs Pama tena🙆🙆🙆
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…