Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Nauona mwisho wa insider kwa iryn!! Hapo mimba ya prisca haijabumburuka,
 
Safi sana japo nimeumia pia, Iryn kafanya maamuzi baada ya kugundua ulikuwa unamuuza kwa Muajemi akajua kabisa humpendi na hauna mpango nae na sijui kwanini uumie wakati Zanzibar ulishangaa hakulala chumba kimoja na Muajemi ina maana wangelala wote usingeumia kwa sababu uliahidiwa hela
 
Akili mtu wangu akili

Sent from my M2101K6G using JamiiForums mobile app
 
Siwezi mlaumu INSIDER MAN
Bosi wako au Mwanamke anaye Kupa Dili akikutaka inakuwa sintofahamu( awkward) sana.

Ila ukitembea nae halafu akakolea msala ila ukivunga kunakuwaga na bifu la kufa mtu na Dili hupati.

Ila itapendeza mwisho wa story hako kabinti ukahondomole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…