Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.

Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......

Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....

Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... 😁

Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.

Ni burudani tu 😂
Ile ni mtu mwingine alikuwa anaendeleza hakuwa insider
 
Story hii nafikiri ni moja ya story bora kabisa kuwahi kuandikwa hapa JF.

Nampongeza sn Mkuu INSIDER MAN kwanza kwa uandishi wake wa viwango vya hali ya juu ukizingatia kwamba anayapanga matukio katika hali ambayo inamfanya msomaji awe na suspense ya kujua nini kinafuata kwenye mtiririko wa hii story.

Nimetumia siku 4 kuanzia eposod ya kwanza mpk hapa alipoishia huyu mwamba, nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day, week after the same etc. etc.(according to my analytical eye) kwa hii story.

KILICHONIVUTIA
1. Sehemu nyingi za ukanda wa kuanzia Posta kurudi kaskazini yote ya Dar nimezunguka sn maeneo yale na barabara zote pamoja na maeneo mengi anayoyaeleza msimuliaji nimekuwa nikiyapita so nilikuwa naenda naye bampa to bampa.

2.Msimuliaji ana bahati sn ambayo ni 'unique' hizi bahati zinawapata watu wachache sana. It's God given!

3.Kuna mtu humu amekuwa akicomment hii story na neno lake moja tu la 'NUKTA ' yeye hana maneno mengi kwenye coments zake kiasi ambacho naye amekuwa kivutio...

4. Kuna wajuba walimshukia Ndg INSIDER kwa nguvu ya 5G kuwa mwandishi anayoadithia ni 'Chai' kiasi ambacho kilipelekea uzi kuchafukwa na mwandishi kutaka kuwithdraw ila nguvu ya wana JF iliwazima kama moto wa kibatari.

USHAURI:
Mkuu INSIDERMAN napenda niungane na wana JF wachache waliodokeza kuwa weka kitu hiki kwenye kioo( TV) utengeneze hela. Nahakika na kwasababu unatembea na bahati usishangae unapiga hela kupitia contracts na wadau wa tamthilia kama Dstv or Azam

I second you mkuu, huyu jamaa kama hii story ameitunga based on true story basi amepunguza na kuongeza chumvi kiasi kidogo(very smart).

Kwa mtu mzoefu wa kupita pita maeneo tajwa kwenye hii story utagundua man analifahamu jiji kwa uzuri hususan hizi sehemu za bata.

Legendary comment[emoji110]
 
Kabisa mimi nimebahatika kupitia maeneo kadhaa ya pande ambazo amekuwa akizitaja kwakweli nilijikuta nikivutiwa na hii story cos mandhari aliyoyaeleza ni popular sana kwangu.
 
Huyu jamaa na mwandishi wapo sawa mtoto mzuri unamchekea chekea tu anakudharau.Apo unaona dem kabisa kaelekea kibla ila jamaa anashia kushukuru tu.
FB_IMG_16946953629069994.jpg
 
Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.

Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......

Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....

Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... [emoji16]

Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.

Ni burudani tu [emoji23]
Hapana hicho kipande unachokiongelea kuna jamaa ndo alikiendeleza wakati tunasubiria epsode inayofuata hata mim niliingia mkenge
 
Am working on it, kuna wadau washanitafuta tayari tukifikia pazuri nitawapa mrejesho.
Wadau wa kuigiza nafasi za wasifu wa hii story tupo! Mimi nataka niwe "INSIDER MAN" ili ikifika mahali Iryn ananiita nikampangie nguo kwenye kabati chumbani kwake huku amenivalia kimitego sitawaangusha wana JamiiForums maana itakuwa nafasi hadhimu ya kula kimasihara! Hila nafasi ya Mzee Pama sitaki!!
 
Back
Top Bottom