Jogoo mbegu
JF-Expert Member
- Jun 28, 2023
- 824
- 3,459
Mkuu insider kuna gari langu bovu nimeuza likikuwa linanisumbua Sana!
Kwani hiyo massage ya Iryne inazidi 300K
Kwani hiyo massage ya Iryne inazidi 300K
Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.nimesoma huku nikifuatilia matukio kama kuna sehemu either kajichanganya lkn to be honest sikuona. Na hii ndiyo inaonesha kuwa hii ni true story cos anakwenda day after day,
HakikaPale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... [emoji16]
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni burudani tu [emoji23]
Hata wewe uligundua kitu bila shakaHakika
Hicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... [emoji16]
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni burudani tu [emoji23]
Humu ndani ni mchangqnyiko wa vilaza na g.thinkers wa ukweli mkuu wala usishangae watu kubabaikaHicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
Huu ni uzi wa insider ikiwa kuna mtu anaweka mwendelezo haramu ni lazima mwenye uzi awajibike, ana asipowajibika maana yake aliyepost anavibali vya mhusika (mwenye uzi)Hicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
Ni ngumu sana kwa mwenye uzi (insider man) kuona kila comment na kuifuatilia.Huu ni uzi wa insider ikiwa kuna mtu anaweka mwendelezo haramu ni lazima mwenye uzi awajibike, ana asipowajibika maana yake aliyepost anavibali vya mhusika (mwenye uzi)
Soma vizuri mwandishi ni yule yule mwenye uzi
Najua waliovamia uzi aliwaonya na kutumia option ya ignoring kwa uvamizi wao.Ni ngumu sana kwa mwenye uzi (insider man) kuona kila comment na kuifuatilia.
Ila ww Mungu anakuonaNipo bize sana leo naomba usitupie episode kwa leo mpaka pale nitakapotulia.
Wako msomaji.
IRYN aliamua asibaki nyuma na yeye kurudisha mapigo kwa wamisri alikuwa na pupa ya kunivua suruali yangu kwani haijuwa imevuliwa kumbuka nilikuwa nakamilisha mahesabu ya kazi. aliteremka kwenye kitanda haraka ili aivue kwa uharaka kiufupi kama alichanganyikiwa. alivua chap pamoja na boxer bila kuchelewa uzuri nilishasafisha msitu wa mababu sisi wanaume huwa tunaamini mda wowote unakutana na match hivo haturuhusu msitu uwe na majani mengi.
ghafra niliona moyo unadunda sana sikuamini IRYN alichokuwa ananifanyia kwani kilikuwa ni kitendo cha haraka sana, nilishangaa mtoto wa kishua kumenya mua kwa mdomo tena kwa ufundi wa hali ya juu, lakini ghafra tulishtushwa na mlango uliokuwa unafunguliwa kutazama alikuwa muajemi, wote tulipoa kama tumemwagiwa maji wakati huu kila kitu kikiwa live.
itaendelea....
sikuamini IRYN alichokuwa ananifanyia kwani kilikuwa ni kitendo cha haraka sana, nilishangaa mtoto wa kishua kumenya mua kwa mdomo tena kwa ufundi wa hali ya juu, lakini ghafra tulishtushwa na mlango uliokuwa unafunguliwa kutazama alikuwa muajemi, wote tulipoa kama tumemwagiwa maji wakati huu kila kitu kikiwa live.
itaendelea....
Mimi sisomagi story kabisa. I am lazy man kusoma.story yako ilikiwa inajitokeza kila mara na baadae nikataka nione kuna nini .baada ya kutia mguu INSIDER sikupiga kope mpaka nilipomaliza episode iliyoko last mpaka sasa. the way inavyovutia mpaka sasa nahsi Sonona coz inabidi nisubirie episode pale utakapoamua. Respect kwako young broAm working on it, kuna wadau washanitafuta tayari tukifikia pazuri nitawapa mrejesho.
Kama fisi hawana majukumu achia mmoja mkuu ampe lessonHuu ni uzi wa insider ikiwa kuna mtu anaweka mwendelezo haramu ni lazima mwenye uzi awajibike, ana asipowajibika maana yake aliyepost anavibali vya mhusika (mwenye uzi)
Soma vizuri mwandishi ni yule yule mwenye uzi
Ngumu kum outsmart insider man .jamaa ni genius .story iko very complex ila ukiifanyia cross examination anaweza pata tuzo huyu Dogo .kama kuna mistakes ni negligible .na admire accuracy ya maeneo .jamaa analijua jiji vilivyoHicho kipande cha mnara kusoma 5G na iryn kumenya muwa hakuandika insider man Kuna mwamba aliendeleza tu pale alipoishia insider man. Insider man alikuja kusimulia pale muajemi alipokuja kumuulizia iryn then akampa bahasha.
Hapana Mkuu, nasisitiza tena nimeisoma story 'hii thoroughly' neno baada ya neno ukiondolea sehemu moja tu ama mbili ktk dialog series ndipo alichanganya majina tu badala ya kuandika Prisca alitaja Iryn lakini kwa muktadha story yenyewe, jamaa hajajichanganya kabisa.Pale zenji hotelini Iryn akiwa kakimbilia bedroom kwa Insider man, jamaa alijichanganya kiasi kwamba tuliosoma Cuba tuliona hii ni story ya kutunga tu na sio ya kweli.
Eti yupo na Iryn kwa bed, mkonga umesoma 5G, baadae Iryn akaanza kumenya muwa hadi......
Mara paaap mlango ukafunguliwa na muajemi ikawa ni fumanizi.....
Jamaa alikata story halafu akaendelea episode iliyofuata kwa kupotezea lile fumanizi akaeleza kitu tofauti kabisa kwamba muajemi alikuja tu kuleta bahasha na kutoa taarifa ya safari ya kesho kurudi Dar so hakufumania watu wakibebishana..... 😁
Kama kweli ulisoma hatua kwa hatua utagundua hii story inatungiwa hapa hapa na sio true story.
Ni kweli, ila huyo jamaa ni kocha Nabi ndiye alifanya hivyo, hakufanya poa kuweka dodoso huku akimtambilisha Insider Man kama muweka dodoso 😂Hiyo habari unayosema alipokuwa room pale Zenj na Iryn siyo narration yake kuna mdau hapa JFndiyo aliyeweka dososo kuchangamsha jukwaa baada ya watu humu kulia na arostoo.Kama sikosei ni Mkuu SMART GHOST.