Escrowseal1
JF-Expert Member
- Dec 17, 2014
- 4,618
- 4,605
Hii story episode zikiwa zishafika zaidi ya 30 sasa kidogo ni overtake sasa ni mwendo wa kusubiria episode .so annoying .anyway thanks insider man kwa kutubirudisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi najiuliza insider hilo jukumu la kumlinda nakumuangalia mchepuko wa marehemu mzee pama analitimizaje ,kwakua anaenda kumsalimia au kumlinda kama askari.INSIDER MAN pole sana ndg, kwa kuondokewa na kumpoteza mtu muhimu sana kwenye harakati zako za utafutaji, naamini Mzee alikuachia jukumu kubwa sana la kumlinda na kumwangalia mchepuko wake pamoja na kijana wake ambaye atazaliwa, japo sijui kama ulilifahamu hili jambo mapema mzee Pama alikuamini na kukupenda sana kama rafiki na kijana wake, hivyo ni jukumu na wajibu wako kuendeleza ile imani aliyoijenga kwako japo kimwili hayupo tena pamoja na wewe lakini naamini kiroho huko alipo bado anaendelea kukufuatilia,
Ushauri wangu kwako kijana, jenga na endeleza imani uliyoiweka kwake wakati yupo hai na hata sasa timiza yote aliyokuasa uyafanye hasa kumlinda na kumwangalia mchepuko wake!
Inamake sense flan hivi [emoji122]Naamini Muajemi aliamua kufunguka kwa lyin kwa sababu lyin alimwambia ana Mpenzi ambaye ni Insparderman .hivyo Muajeni akaona anachechewa kamchezo ikabidi afunguke kuwa Mbona amekula hela zake nyingi ili amuunganishie lyin .
Ndicho lyin alichukia Sana na kuamua kujichanganya siku hiyo na kuamua kumwonyeshea Insparderman.
Ulifanya vizuri kumpa ushauri Muajemi. Hapo kwa Sumaiya[emoji23], wacha nitafute Episode inayofuatia but una moyo wa kwenda kutafuta zana.EPISODE 47
“A TRUE STORY BY INSIDER MAN”
CONTINUE…..
Muda ule ilibidi nishangae kwanza maana niliona Muajemi kama karogwa hivi na sio akili zake. Niliona Muajemi ni kama hajitambui na hajui anafanya nini.
MUAJEMI: “Bro! unaionaje hii gari? Nataka umpelelekee Iryn kama zawadi.”
MIMI: “Bro! ushailipia tayari hii gari?”
MUAJEMI: “Bado nataka kwanza utoe comment then nifanye malipo ili uondoke nayo.”
Na kipindi hiki chote kulikuwa na Jamaa mwenye asili ya uarabu akiwa makini sana na sisi. Maana alijua kabisa gari imeuzwa anasubiri maokoto tu kutoka kwa Muajemi.
MIMI: “Bro! samahani naomba tuongee mara moja then tutarudi.”
MUAJEMI: “Sawa haina shida, unataka tuongelee wapi?”
MIMI: “Nafikiri twende pale mbele kuna kamgahawa tukae kabisa.”
Tulitoka pale na tulikwenda moja kwa moja mpaka Mgahawa wa Best bite na tulikaa pale tukaanza maongezi.
MIMI: “Bro! najua una mapenzi na upendo wa kweli kwa Iryn. I really appreciate your efforts, nimekuwa na wewe bega kwa bega toka mwanzo mpaka sasa, lakini kwa hili sikuungi mkono kabisa.”
MUAJEMI: “Kwanini Bro! mimi nafanya kutoka moyoni kabisa na nilikuwa na mpango wa kumnunulia gari toka muda mrefu sana.”
MIMI: “Sawa Bro! cha kwanza inatakiwa utambue unadeal na aina gani ya mwanamke. Iryn hana shida na gari ni vile hajataka kununua na hata akitaka gari mama yake aliacha Range sport mpya kabisa ipo kwa mama yake mlezi. Haya yote unafanya ili uweze kumuwin lakini unashindwa kutambua Iryn sio dizaini ya Wanawake wenye njaa. What if kama nitampelekea zawadi ya gari na akaikataa? umejaribu kuwaza hivi? Na vipi kwa upande wako utajisikiaje?.”
MUAJEMI: “Kaka upo sahihi sasa unanishauri ni nini hapa?”
MIMI: “Ni simple tu ili kuepusha haya kutokea. Iryn ni mtu mzima tayari anajitambua huna haja ya kuendelea kuzunguka mbuyu tena, kwasasa nenda direct. Omba appointment ya kuonana naye najua hawezi kukukatalia, this time itabidi umchane ukweli na usifiche hata kitu kimoja mwambie ukweli kuhusu maisha yako na mipango yako kwake.”
MUAJEMI: “Bro unaona ni sawa kumwambia direct? Vipi kama atanichomolea si itakuwa matatizo?”
MIMI: “Point yangu acha kupoteza muda kwa mwanamke, utapoteza pesa, utatoa hata zawadi ya figo lakini kama hakupendi- hakupendi ndo wanawake walivyo. Mpaka sasa mnafahamiana tayari vya kutosha don’t waste your time Bro! Kaa naye chini mpe ukweli ibaki yeye kuamua tu kama yuko in or out.”
MUAJEMI: “Kaka naona upo sahihi itabidi niombe appointment naye weekend hii.”
MIMI: “Yeah fanya hivo, akikubali sasa hapo unampelekea gari kama zawadi ili kukazia mapenzi ila kwasasa utakwama hata yeye atakushangaa sana atakuona bwege. Na ikitokea kakuchomolea wewe achana naye pisi kali zipo kibao, wewe unapesa huwezi kosa pisi kali sehemu yoyote Duniani.”
MUAJEMI: “Sawa Bro! leo umeongea point ila wasiwasi wangu akikataa.”
MIMI: “Mwanaume kuogopa kukataliwa ni udhaifu mkubwa sana inatakiwa ujiamini hata kama akikutalia chukulia simple madem wako wengi tu. Sasa ni bora ukataliwe au uendelee kupoteza muda? Na kumbuka nilikwambia before kwamba Iryn ana mtu wake Ufaransa anampa kila kitu anachotaka, hata yeye hana shida.”
MUAJEMI: “Sawa Bro! Acha mimi niende tutawasiliana.”
Tuliagana na Muajemi na alitoa laki 1 kwaajili ya mafuta ya gari na akaondoka. Niliamua kumchana ukweli Muajemi ili aisendelee kupoteza pesa. Maana niliona kuna siku itaweza kuleta shida hata pesa alizokuwa ananipa ni sababu ya Iryn wala sio kingine.
Iikuwa ni saa 12 jioni baada ya kuachana na Muajemi mimi nilielekea Mlimani moja kwa moja. Kuna jamaa nilikwenda kuonana naye mitaa ile kwaajili ya kufanya biashara ya zile simu.
Baada ya kuonana na kuridhika na zile simu, tulikubaliana kwa simu zote 7 atanipa 16,800,000/=. Na jamaa hakutaka kuchezea ile bahati na alifanya kutransfer Pesa kwenye account yangu ya bank.
Niliondoka maeneo yale ya Mlimani na nilikwenda chuo kumchukua Prisca mama kijacho wangu ili tupate Dinna ya pamoja. Na baada ya kuwasili pale chuo ilibidi nimsubiri atoke class na baada ya nusu saa alikuwa katoka tayari akiwa pamoja na Eva.
Tulitoka pale chuo na tulikwenda mpaka mlimani city pale Instanbul restaurant kwaajili ya dinna. Kila mtu aliagiza anachopenda kula na muda huu story zilikuwa zikiendelea pale.
MIMI: “Nambieni wake zangu masomo yanakwendaje.?”
Niliishiwa kupigwa jicho kali sana na Prisca muda huu.
EVA: “Shem hongera sana unakwenda kuwa Baba soon.”
PRISCA: “Awe Baba mara ngapi?”
MIMI: “Ahsante sana shemela wangu leo itabidi unipe namba zako incase of anything uwe unanipigia.”
EVA: “Sawa shem haina shida.”
PRISCA: “Baby itabidi nianze kwenda clinic mapema.”
MIMI: “Subiri kwanza ufikishe week 8 ndo uanze kwenda kwasasa mapema sana.”
EVA: “Hata mimi nilimwambia leo bado mapema sana, naona anatamani sana kuwa mama.”
Nilikaa na akina Prisca mpaka saa 3 usiku kasoro nikawaambia warequest usafiri na mimi nikaondoka kuelekea kwa Iryn.
Baada ya kufika pale na kuingia ndani nilikuta hakuna mtu ndani lakini simu ilikuwa seblen kuonesha mtu yuko around. Nilisubiri kama dakika 10 lakini mtu simwoni, nikakumbuka kuna swimming pool nilihisi atakuwa huko.
Baada ya kuzunguka na kwenda upande wa swimming pool nilimkuta kule akiwa anaswim kama mtu ambaye hana stress na maisha, na alikuwa peke yake.
“Nimekusubiri sana kumbe upo huko mummy.”
“Insider ingia bhasi na wewe maji ya moto hadi raha.”
“Mimi siingii humo ndani fanya kutoka twende ndani tukaongee.”
“Usinambie leo hii hutaki kuswim na mimi.”
“Muda umekwenda kuna jambo nataka tuzungumze muhimu.”
“We can talk there mbona kuna utulivu wa kutosha hapa. Anyway twende ndani hata hivyo nimekaa sana kwenye maji.”
Tulirudi ndani muda huu tukiwa tumeongozana njiani, na Iryn alikuwa katangulia kwa mbele, so nilikuwa kwa nyuma nikamtizama maungo yake kwa matamanio.
MIMI: “Iryn Mungu alikuumba sana Mummy.”
IRYN: “Insider toka nyuma yangu tangulia mbele.”
Baada ya kuingia ndani aliingia chumbani na baada ya dakika 10 alitoka kavaa tayari.
IRYN: “Insider unajambo gani?”
MIMI: “Kwamba sikuhizi umeanza kunionea aibu mpaka umeenda kubadilika? Hujui nilikuwa naona raha kukuangalia ukiwa vile?”
IRYN: “Natoka tukiachana hapa na utanipeleka Mikocheni Plaza nikale Pizza.”
MIMI: “Ok sawa, nimeshauza simu tayari nipe account namba nifanye kutransfer pesa zako.”
IRYN: “Sawa twende bhasi njiani nitakupa utatransfer.”
Na muda huu alikuwa akiniinua kwenye coach kwa kunibembeleza.
Ilibidi nimepeleke Mikocheni Plaza pale Pizza Hut na baada ya kuwasili alining’ang’ania simsubiri ili turudi wote tena. Ukweli sikuwa na jinsi ilibidi twende wote mpaka ndani japo nilikuwa natamani kurudi home mapema.
Iryn aliingia ndani kuweka odda na baada ya dakika 5 alitoka akaja akakaa kwenye bench kwa pale nje. Na muda huu kuna jamaa alikuwa anakuja upande wetu ni kama alikuwa amem-target Iryn sasa aliponiona mimi dizaini kama alipiga U-turn.
IRYN: “Uyo mshenzi alikuwa ananitongoza eti alikuwa anataka kunilipia Pizza nikamgomea. Akaanza kuniomba namba ya simu, baadae akanambia unakaa wapi, nikamwambia nimekaa nje na mme wangu.”
Na muda huu Iryn alikuwa anacheka sana.
MIMI: “Sasa hapa ndo alikuwa anakufuata? Maana niliona alikuwa anakuja kwa ajili yako.”
IRYN: “Alikuwa haamini nafikiri sasa kweli kaprove. Why Tanzanian men’s are not smart?”
MIMI: “Sio Tanzania tu ni Dunia nzima acha uchawi wako kwa Watanzania.”
IRYN: “Sawa bhana, ngoja nikachukue juice. Insider nikuletee juice gani?”
MIMI: “Nichagulie nzuri for me.”
Iryn aliondoka na muda huu jamaa alikuwa akiniangalia sana dizaini alikuwa haamini macho yake kama mimi ndo mme wa Iryn. Na Iryn alivyorudi alinikisi shavuni kwa makusudi, nilihisi anamuumiza jamaa tu.
MIMI: “Noana umeamua kumchoma Moyo Jamaa.”
IRYN: “Nimekukisi sababu ya kunipa kampani wala sio sababu ya huyo mshenzi.”
MIMI: “Sawa mrembo wangu wa Dunia kula Pizza tuondoke nimem-miss mama J wangu leo.”
IRYN: “Hongera zako mimi mpaka nionane na Grizmann. Afu ratiba zetu zitaendelea soon nakosa Pesa nyingi sana kwakweli.”
MIMI: “Iryn bado unawaza kuendelea na hizo Biashara?”
IRYN: “Insider kazi ni kazi hutakiwi kuchagua, mimi ni mzuri nina kipaji cha massaji kwanini niache Pesa zinipite?. Afu nilikupa offa ya kukufanyia massage lakini unaringa, na hii kwaajili ya afya yako. Kumbuka unakaa sana kwenye gari unahitaji kunyooshwa huo mgongo shauri yako.”
MIMI: “Kweli itabidi unifanyie matibabu Doctor.”
IRYN: “Tuondoke mimi niko full hapa bebe.”
Na muda huu tuliondoka huku jamaa akituangalia kwa wivu sana na Iryn alikuwa kaniwekea mkono kiunoni, kwa mtu anayetuona kwa mara ya kwanza angejua sisi ni wapenzi.
Nilimpeleka Iryn kwake na mimi nikarudi home muda ule maana ilikuwa ni saa 5 kasoro usiku.
Kwa upande mwingine kwenye zile simu za Iryn nilikuwa nimepata 2,800,000/= kama udalali baada ya kuziuza.
*********
Jumatano asubuhi nilipigiwa simu kutoka kwa mama Janeth na aliomba tuonane saa 6 mchana pale ofisini kwake Masaki.
Mapema sana kwenye saa 6 kasoro mchana nilikuwa nimewasili pale na nilikwenda moja kwa moja mpaka getini na gari. Mama Janeth alisema nikifika pale niingie na gari ndani moja kwa moja nisipark nje.
“Bro! habari yako unakwenda wapi?”
“Nakwenda kuonana na Mrs Carter.”
“Wewe ni nani na una appointment naye?”
“Sasa nitakuja kwenye Organization kubwa kama hii bila kuwa na appointment?”
“Embu subiri kwanza tufanye mawasiliano.”
Nilisubiri pale getini kama dakika 3 hivi ndo nikaruhusiwa kuingia ndani. Na baada ya kupark gari niliwasiliana na Mama Janeth na akanambia nimsubiri pale sehem ya visitors anakuja.
Ilimchukua kama dakika 15 mama Janeth kutoka na baada ya kufika pale nilipokuwa nimekaa tulisalimiana na akanambia tuongozane, na muda huu tulikwenda moja kwa moja mpaka kwenye ofisi yake.
“Insider karibu sana Jisikie huru hii ni ofisi yenu usiwe na wasiwasi.”
“Ahsante sana mama kwanza nashukuru kwa kunipa wito wa kufika kwenye organization kubwa kama hii.”
“Mnaruhusiwa kuja mbona sema Watanzania hampo active kama nchi zingine.”
“Sijawai kujua hili mama.”
“Mnaruhusiwa kuvisit kama unataka elimu anything unapewa. Nimekuita hapa kwanza pole na msiba mwanangu, Iryn alinipa taarifa zote na alinambia mazishi yalifanyika Tabora.”
“Ndio mama nashukuru lakini kazi ya Mungu haina makosa, japo inaumiza sana kuondokewa na mtu muhimu kwenye maisha.”
“Poleni sana, nilitamani sana tuonane maana wewe ni moja ya member wa kampuni yetu na kazi yako inaonekana nikushukuru kwa hili. Nilipita pale ofisini nikaona umeweka mazingira mazuri, umepanda miti na maua kwakweli ulinifurahisha sana.”
“Ahsante sana mama ni moja ya majukumu yangu ya kiofisi huna haja ya kushukuru wakati unanilipa mshahara.”
“Jambo lingine naomba uniwie radhi kwa kutokukurudia mapema lakini ujumbe wako niliupata kwa kuchelewa sana. Nilikuwa huko Ukraine tunafanya tafiti so I was very busy that time na dada alituma mail kwenye account yangu binafsi, angetumia ya ofisi ingekuwa haraka sana kuipata.”
“Usijali mama kuwa na amani Iryn alishanambia hayo yote tayari, kipindi kile nilikuwa kwenye wakati mgumu sana. Iryn aliondoka bila kuniaga afu akawa hapatikani kwa simu, nikapata wazo la kwenda kwako lakini nikaambiwa umehama. Nikaamua kuja hapa ofisini ndo HR akanambia niache taarifa zangu atakutumia.”
“Pole sana pale tulihama, wakati umeleta mzigo weekend tulihama. Niliamua kuhamia nyumba yangu maana landlord alipandisha rent, nikaona bora nikakae nyumba yangu ili niwe huru.”
“Ni kweli kabisa mama upo sahihi kodi zina kera sana.”
Kwa ufupi mama Janeth alifurahi sana kwa kumjali sana Iryn maana alisema before mimi Iryn alikuwa ni mtu wa mawazo sana na alikuwa anajifungia ndani. Lakini baada ya kukutana na mimi amebadilika sana amekuwa mchangamfu na furaha sana.
Mama Janeth alinishukuru sana na aliniomba niendelee kuwa karibu na Iryn ili amsahau mama yake kabisa.
Ni mazungumzo yaliyochukua kama dakika 45 na baada ya hapo alinipeleka kwa yule HR wa siku ile na akanitambulisha kama mwanae. Yule HR alishangaa sana na alikuwa anani-changamkia sana muda huu.
Baada ya yote Mama Janeth alisema tukapate lunch ya pamoja na tulikwenda kupata lunch pale Epi d’or.”
Muda ule tukiwa pale mgahawani tulikuwa tunaongea mambo mengi sana na Mama Janeth kuhusu maisha na mambo mengine. Kwa upande wake mama Janeth alikuwa na furaha sana na jambo lingine alikuwa anahisi mimi nina mahusiano ya kimapenzi na Iryn.
Baada ya lunch nilimrudisha Mama Janeth ofisini kwake na tukaagana. Wakati niko njiani nilifanya mawasiliano na Dullah maana nilimwambia nikirudi toka Tabora msibani ningemjulisha.
Nilimwambia Dullah juu ya maamuzi yangu ya kuachana na biashara ya Uber kama ukumbusho wangu kwa Mzee Pama. Japo alinipinga sana na haya maamuzi yangu lakini ilibidi akubaliane tu na mimi, kwanza biashara ilishakuwa ngumu sana kipindi hiki. Dullah alinisisitiza sana Uber wakirudi niendelee na kazi lakini nilimwambia nitaajiri dereva, na haya yote ni sababu ya heshima yangu kwa Mzee Pama.
*******
Kesho yake jioni ambayo ni alhamis niliamua kupitia saloon zote kufanya ukaguzi pamoja na kuwapa taarifa Lucy na Sumaiya kuhusu kikao cha weekend.
Niliona ni busara kuwashirikisha katika mipango ya kikao kwa ujumla, sambamba na eneo la kufanyia. Iryn aliniachia hili suala mimi kama operation manager lakini na mimi niliona sinabudi kuwashirikisha akina Lucy kama partners wangu.
Nilianza na Lucy pale Mikocheni na baada ya kumshirikisha alitoa wazo tutafute sehemu nzuri ya uwazi na baada ya hapo twende sehemu tukamalizie bata.
Tuliagana na Lucy na nilikwenda moja kwa moja mpaka Masaki kwaajili ya kuonana na Sumaiya. Wakati nawasili pale dizaini kama aliniona hivyo alitoka na akaja parking na akafungua mlango wa gari akakaa siti ya mbele.
“Mtoto unapenda magari wewe.”
“Hakuna mwanamke asiyependa gari Insider.”
“Naona leo umependeza sana na hiko kigauni chako kinafanya viamke vilivyo lala.”
“Kwa mwanaume Rijali ni kawaida so siwezi kukushangaa wewe kama ni kweli. Niambie unajambo gani kutoka kwa Queen, maana leo kanipigia simu eti ananisalimia, toka lini Queen anipigie simu akanisalimia?.”
“Si Bossy wako? hutaki akujulie hali mfanyakazi wake ?”
“Yule anahisi mimi nakupea ni wivu tu umemjaa, maskini anafikiri tunanyanduana.”
“Mama Janeth alikutoa wapi wewe? Maana sijawahi kukutana na mwanamke mwenye mdomo kama wewe.”
Sumaiya ni mwanamke asili yake ni Tanga anakimwili portable afu mweupe madem wa Tanga nadhani mnawajua vizuri. Kingine alikuwa mwongeaji sana afu hanaga aibu kabisa.
Niliongea na Sumaiya kuhusu suala la kikao Jumamosi na yeye alishauri tutafute Hotel au sehemu yoyote ya wazi ili tufanye kikao chetu na baada ya hapo tutoke out.
Ushauri wa Sumaiya niliona una mantiki
Maana tungekuwa 17 kwa idadi ya wote, Masaki kuna wafanyakazi 7, Mikocheni 5, Sinza 3 , bado mimi na Iryn. Jumla hapo tunakuwa 17 so hotel ndo ilikuwa sehemu sahihi ya kufanyia kikao.
Baada ya maongezi Sumaiya aliomba nimsubiri ili nimpe lift mpaka Morocco na ilikuwa ni usiku umeanza kuingia.
Nilimsubiri kwa nusu saa ndo alitoka na tukaondoka, sasa kutokana na story za njiani nilijikuta nampeleka Sumaiya mpaka kwake. Alikuwa anakaa Kinondoni mitaa ya Gavana kule kama unakwenda Biafra. Na lengo langu lilikuwa nikatokee mataa ya Biafra then Morocco afu niunge na Bagamoyo road.
“Insider si unapitia kwangu upajue? Kufika mpaka hapa na usiingie kwangu haitakuwa vizuri.”
“Sawa twende nikapajue kwako.”
Baada ya kuwasili kwake alishuka akafungua geti na mimi nikaingiza gari nikapark tukaingia ndani kwake. Alikuwa amepanga apartment nzuri ya Jiko, sebule, na masta.
“Nani anakulipia kodi hapa? sitaki matatizo.”
“Angekuwa analipa kodi mwanaume mwenzako hata nisinge kuingiza ndani.”
Na muda huu nilimvuta kwangu kwa nguvu na nikamshika makalio yake.
“Makalio yenyewe huna ya kushika.”
Na nikaendelea kuyapapasa na kuyaminya minya.
Niliona Sumaiya kashaanza kulegea taratibu na yeye akanipa tongue tukaanza romance pale asee ilikuwa ni mtifuano, nikambeba nikamtupia kwa coach. Na kalivyo portable vile hata sikuwa na tumia nguvu kubwa sana kumbeba.
Sikutaka hata kumcheleweshea kabisa nikamvua kigauni chake, uwii alikuwa na bikini afu kwa juu hakuvaa chochote nilikuwa naziona chuchu zake live zilivyosimama wima, uzuri zilikuwa zina jaa kwenye mikono yangu maana alikuwa ana vifuu vidogo sana.
Nilianza kuvinyonya taratibu pale na yeye alishakuwa yuko Dunia nyingine muda mrefu sana. Kisima chake kilikuwa kishaanza kutoa chemchem tayari na mimi niliendeleza maunyama yangu taratibu hata sikuwa na mapepe maana kuku ni wangu haraka za nini?.
Muda huu Sumaiya alikuwa kashaanza kupapasa mtwangio wangu ili nianze kutwanga kinu. Na mimi palepale nimlaza chali na nikambetua kwa juu kidogo ndani ya sekunde alikiaa chaaah!, niliiachana bikini yake vipande viwili. Na muda huu nilikuwa nashuhudia something hot between her legs na alikuwa kashave kabisa.
Nilimkunja vizuri kabisa kwaajili ya kumtwanga lakini nilikumbuka sina kinga, sikutaka suala la Prisca lijirudie tena hivyo nikamuacha palepale.
“Insider unashida gani?”
“Do you have a condoms?”
“No sina.”
“Siwezi kuendelea bila condom acha nikanunue chap then nakuja tuendelee.”
Na muda huu Sumaiya alikuwa mpole ikabidi nimwambie nakwenda pharmacy kununua then narudi, hata yeye hakuwa na cha kusema.
CONTINUE….
Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu
Muajemi atakuwa kazingua[emoji23]...Kwamba maDeal yenu kamwambia Iryn![emoji23]EPISODE 48
Na muda huu Sumaiya alikuwa mpole ikabidi nimwambie nakwenda pharmacy kununua then narudi, hata yeye hakuwa na cha kusema.
CONTINUE…
Nilikuwa na Mzuka sana kwakweli lakini baada ya kutoka pale kwake kuelekea Pharmacy niliwaza, vipi kama Sumaiya anatumiwa na Iryn??. Pili niliona kulala naye nitaleta matatizo tu kwangu, maana Sumaiya ni mropokaji hachelewi kutangazia watu.
Mzuka ulinikata na niliamua kuondoka tu hata mzuka wa kununua Condom ni kama ulinikata, pia nilianza kijilaumu ilikuwaje mpaka nikataka kufanya ujinga ule?.
Sumaiya alianza kupiga simu kwa kasi baada ya kuona muda umepita sitokei na mimi sikutaka kupokea simu zake. Alipiga kama mara 4 hivi lakini sikuhangaika na simu zake kabisa, maana nilijua lazima atakuwa anaulizia niliko. Muda huu alituma pia message lakini sikumjibu na mimi niakendelea na safari yangu.
******
Jumamosi ni siku ambayo tulikuwa na kikao na tulifanyia pale Whitesand Hotel. Tulichagua hapa sababu tuliona ndo sehemu nzuri ya kufanyia kikao na imetulia. Na tulikubaliana muda wa kuanzaa kikao iwe saa 12 jioni tupate na Dinna ya pamoja.
Nilijiandaa mapema sana maana nilikuwa natakiwa kwenda kumpitia Iryn pale kwake then twende Whitesand. Nilipendeza sana hii siku maana nilitupia jeans ya Blue niliyoletewa zawadi na Iryn, nilivaa shati ya draft na chini nilipiga zangu buti za kahawia na nikavaa miwani niliyopewa na Mary. Ile miwani ilinipa credit sana maana nilikuwa kama doni flan hivi, kama ningesimamisha pisi isingenichomolea kabisa.
Niliwasili kwa Iryn mapema na yeye alikuwa bado anajiandaa, kwa upande mwingine Lucy na Sumaiya walikuwa wameshawasili eneo la tukio tayari kwaajili ya kuweka mambo sawa.
Baada ya dakika 15 Iryn alitoka akiwa na mwonekano wa tofauti kama nilivyomzoea, na alikuwa kapendeza sana, kuanzia mwonekano wa nywele mpaka mavazi.
“Bossy wangu umependeza sana kuliko siku zote.”
“Mmhh kweli mimi naona nimezingua eti. Hata wewe umependeza hizo glass zimekukaa vizuri sana.”
“Sidhani kama kuna ambaye atakufunika pale.”
“Si unajua mimi ni Managing Director? lazima niwe na utofauti.”
Iryn baada ya kuona mimi nimevaa miwani na yeye akaenda kuvaa yake. Tukawa tume match.
Tuliondoka pale japo tulikuwa tumechelewa kama nusu saa hivi.
Tuliwasili pale Hotelin na baada ya kupark gari tulishuka na tuliongozana tumeshikana mikono. Tuliwakuta wote wamefika tayari na walikuwa wamekaa nje kwenye majani, tulichagua pale nje ili tuwe tunapigwa na upepo wa bahari.
Mpaka tunawasili pale kwenye table tulikuwa tunapigwa macho sana, maana tulikuwa tumewaka balaa. Sumaiya muda huu alikuwa ananipiga jicho kali sana, toka like sakata litokee hatukuwai kuwasiliana tena.
Tulikaa katikati mimi na Iryn na pembeni yangu alikuwepo Lucy na upande wa Iryn alikuwa amekaa Sumaiya.
Nilisimama muda huu na nilifanya utambulisho mfupi kuhusu dhumuni la kikao hichi kilichoandaliwa na Meneja Iryn. Kwa ufupi lengo la kikao lilikuwa ni kutoa taswira na maendeleo ya biashara pamoja na kupokea ushauri na mapendekezo mbalimbali, ili kuboresha utendaji wa kampuni.
Iryn alisimama akaongea na yeye pia alitoa wito wa kutohudhuria kwa Mama Janeth sababu ya majukumu ya kiofisi. Muda huu aliweza kutoa pongezi kwa namna kila mmoja anavyojitolea kwenye kampuni. Pia aliweza kuzungumzia faida zilizopatikana kwenye kampuni na masuala mengine.
Iryn aliniongezea majukumu mengine ya kazi siku hii na alisema ripoti za mauzo zitakuwa zinatumwa kwanza kwangu, then mimi ndo nitakuwa ninamtumia yeye. Pia alitangaza kufunga ofisi ya Sinza na wafanyakazi wote wa kule watahamia Mikocheni kwenye ofisi mpya. Alitoa sababu ya kuifunga ofisi ya Sinza ni pamoja na mauzo hafifu na idadi ndogo ya wateja kwa upande ule.
Na muda huu Iryn alininong’oneza nikachukue zile simu kwa gari na mimi nilimtuma mhudumu akazichukue na ndani ya dakika 10 alikuwa karudi.
Iryn aliwataja wafanyakazi wake bora akiwemo Lucy na mimi. Na aligawa zawadi za simu kwa dada wawili.
“Rebecca nakupa hii zawadi sababu wewe ndo mfanyakazi pekee wa muda mrefu uliyebaki pale ofisini, wengi wanakujaga wanakukukuta wanakuacha. Julieth na wewe nakupa zawadi hii kama motivation naona unafanya vizuri kwa sasa. Hizi zawadi mtazifungua mkifika kwenu na sio hapa, nafikiri tupate dinna mengine yaendelee.”
Saa moja usiku tulipata dinna ya pamoja. Ilikuwa ni buffee unajisevia unachotaka wewe kula.
Baada ya kula kila mtu alianza kutoa ushauri na mapendekezo yake na mimi nilikuwa naandika kwa notebook. Na baada ya kila mtu kutoa ushauri, Iryn alisimama tena na alitoa bahasha ndogo nyingi kwenye mkoba wake na aligawa kwa kila mtu.
“Ahsanteni sana kwa muda wenu my family sina cha ziada hapa maana tunakwenda sehemu nyingine kumalizia usiku wetu. Nawaona wote mmependeza sana na hizo bahasha ni nauli za kurudia kwenu badae.”
Kwenye hichi kikao mwanaume nilikuwa peke yangu asee, nilikuwa zimezungukwa na warembo tu. Ukweli sikuwa napenda ila nilikuwa sina jinsi ndo kazi inayonipa kula sikuwa na jeuri.
“Insider tunakwenda wapi baada ya hapa?”
“Tunakwenda Kidimbwi Bossy.”
“Ulifanya booking maana tuko wengi sana.”
“Kwa siku kama leo hakunaga watu wengi tutapata meza hata usiwe na wasiwasi.”
Tulitoka pale Saa 2 usiku na tulikwenda moja kwa moja mpaka pale Kidimbwi kwenda kumalizia usiku wetu.
Baada ya kuwasili pale tulipelekwa kwenye table, sababu tulikuwa wengi ilibidi tuunganishe meza.
Tuliagiza vinywaji kila mtu anavyopendelea na baada ya mhudumu kuleta vinywaji kila mtu alianza kunywa. Mimi nilikuwa busy sana na Iryn tunapiga story,
MIMI: “Leo tunakwenda kulala wote sawa?”
IRYN: “Mama Junior anataarifa hizi?”
MIMI: “Sijisikii tu kwenda home au hutaki tukalale wote?”
Muda huu story zilikuwa zimetawala kwa wote, na kila mtu alikuwa na furaha sana.
REBECCA: “Sumaya hizi Savanna unazozinywa kwa pupa zitakuaibisha wewe shauri yako.”
SUMAIYA: “Best usiwe na shaka nikilewa Insider atanipeleka mpaka kwangu anakujua, hata usiwe na shaka, najua atanipeleka tu.”
Sumaiya aliropoka kwa nguvu kila mtu alisikia na Iryn alinipiga jicho moja kali sana muda huu. Kila mtu alikuwa ananiangalia mimi kusikia nitasema nini, maana walikuwa dilemma hawajui waamini nini kama ni kweli au Sumaiya kalewa. Kwa upande wangu niliendelea kuwa busy na glass yangu ya bia kama hakuna nilichosikia pale. Sikutaka kuongea lolote muda huu maana ningeongea Sumaiya angeendelea kuropoka na nilijua amelewa tayari.
Iryn alihisi something fishy kinaendelea kati yangu na Sumaiya na nilianza kuona mabadiliko yake taratibu. Maana hata ile furaha yake kama ilianza kupotea, Lucy ndo alikuwa makini sana akishuhudia mabadiliko ya Iryn alikuwa amekaa pembeni yake.
Tulikaa pale mpaka saa 5 usiku Iryn akaniambi tuondoke anataka akalale. Tuliwaaga pale na tukaondoka lakini barabarani tulikuwa kimya sana, hatukuwa na maongezi yoyote kama sikuzote. Wakati tunakaribia maeneo ya mzimuni Iryn alianza kuniongelesha,
IRYN: “Nikajua unaondoka na Sumaiya.”
MIMI: “Kwani naishi naye? Mpaka niondoke naye?”
IRYN: “Insider wewe ni mshenzi sana mara hii ushapajua kwa Sumaiya? Nilihisi mapema sana kuna kitu kinaendelea kati yenu.”
MIMI: “Unamuamini Sumaiya? Ipo hivi juzi nilikwenda Masaki kuonana naye ili tupange mipango ya leo. Ilikuwa usiku tayari wakati naondoka, aliomba lift na baada ya kunielekeza anakaa Kinondoni karibu na biafra nikaona nipite huko ili niepuke na foleni ya Morocco. Sijampeleka kwake kama anavyodai niliishia barabarani na yeye akachukua bodaboda. Sumaiya amelewa yule ndomana anaropoka.”
IRYN: “Mhh sawa bhana Insider hakunaga siri hapa duniani.”
MIMI: “Trust me nishindwe kudate na wewe nimkimbilie Sumaiya si nitakuwa nimerogwa?.”
IRYN: “Sawa bhana haina shida.”
Na muda huu tulikuwa tushafika getini tayari kwenye apartments na mlinzi alifungua geti nikaingiza gari ndani. Baada ya kufika usawa wa apartment yake nilipark gari na nikamshika paja lake,
MIMI: “Leo nalala na wewe kama hutaki nambie niondoke.”
IRYN: “Insider be serious at this time on night?.”
MIMI: “Niondoke au tunalala wote?”
IRYN: “Impossible you have to go now, Mama Junior anakusubiri.”
MIMI: “Okay shuka mimi niondoke niwai kwa mama Junior.”
Baada ya kushuka mimi niliondoka kwa spidi sana, wakati nimefika Usawa wa viwanja vya Tanganyika pakers, Iryn alianza kunipigia simu. Na alipiga mara 2 nikamvungia, sikutaka kupokea simu zake ili asijione yeye ndo special sana kwangu, niliamua kumkazia tu.
******
Jumapili asubuhi baada ya kutoka kanisani misa ya asubuhi niliwasiliana na Jane akanambia anategemea kurudi Dar es salaam jioni. Pia alisema jumatatu itabidi tuonane na aliomba niende na Mary pale kwake Mbweni.
Kwa upande mwingine Jane alikuwa yuko sawa hata sauti yake ilikuwa ishaanza kurudi kwenye hali yake. Tuliongea mambo mengi muda huu pamoja na maendeleo ya pale home pamoja na ndugu zake na alinishukuru sana kwa kuendelea kumjali mama yake.
Mchana nikiwa zangu home nimetulia nilipigiwa simu na Muajemi na akanambia leo ataonana na Iryn.
“Bro hajakusumbua kuonana?”
“Hajasumbua kabisa na leo nataka nifanye kama ulivyonielekeza.”
“Sawa wewe mchane ukweli ili ujue kama mpo pamoja au laah!.”
“Pamoja Bro! nitakupa mrejesho. Jioni nitatuma usafiri ukamchukue kwake.”
Ukweli muda huu nilianza kuingiwa na kawivu fulani hivi maana niliona tunda lishakwenda tayari kwa Muajemi. Nilikuwa nakumbuka ile Benz ambayo anataka kutoa kama zawadi nilijua Iryn hawezi kuchomoa, niliona anaweza hata mkubalia kwa kupretend ili aipate ile gari. Niliwaza Iryn anakwenda kuonana na Muajemi lakini hata hajanambia kabisa na sio kawaida yake.
Nilitoka home na hii siku nilikwenda zangu kushinda kwa Prisca na nikirudi home jioni.
Usiku nilitamani sana kumpigia simu Muajemi ili nijue wamefikia wapi lakini Roho ilikuwa inasita. Maana nilikuwa nakumbuka Muajemi alisema atanirudia lakini hakufanya hivo.
Jumatatu asubuhi nilifanya mawasiliano na Mary na nikampa taarifa za kurudi kwa Jane na yeye alizifurahia sana taarifa hizi. Tulipanga pale saa 10 jioni twende wote kule Mbweni kwa Jane.
Saa 6 mchana nilikwenda Masaki kwaajili ya kuonana na fundi, kulikuwa na kazi ya kufanya service za mashine za Saloon, hivyo ilibidi nikapange naye masuala ya bei.
Baada ya kuwasili pale nilikutana na Sumaiya na alikuwa kaninunia balaa, hataki kabisa kuongea na mimi. Hata baadhi ya wafanyakazi wa mle ndani walihisi something fishy kinaendelea kati yetu.
MIMI: “Kumbe hata wewe huwa unanuna? Utafikiri mtoto.”
SUMAIYA: “Insider wewe ni mzinguaji sana, Ilikuwaje ukaniacha na ny*ge zangu?.”
MIMI: “Ndo hicho kilichofanya unune?”
SUMAIYA: “Umenikera sana ujue sitamani hata kukuona, ulikuwa unanichora?”
MIMI: “Sikia sio nilikuwa nakuchora baada ya kutoka pale akili yangu ilirudi. Hivi unafikiri mimi ningewaza kukufvck kwako? Siwezi fanya huu ujinga. Unajua mimi sijui lolote kuhusu wewe, I don’t care unalipa kodi wewe au unalipiwa ila siwezi kukula kwako never. Maben ten ndo wanaweza ila mimi siwezi kabisa, kama hili lilikukera utanisamehe.
SUMAIYA: “Sawa sasa kwanini uninipe jibu ukaniacha vilevile na simu ukawa hupokei, unaona ulikuwa sawa?”
MIMI: “Kwa hili sikuwa sawa ndomana nimekuomba msamaha, mpaka sasa nikikumbuka hizo chuchu zako upwiru unapanda, your so hot mrembo.
SUMAIYA: “Insider unajitahidi sana kuwa na maneno matamu ila ulichonifanyia ni ukatili.”
MIMI: “Leo nakupeleka mgahawa wowote hapa Masaki utakaotaka tukale lunch sawa?”
SUMAIYA: “Sawa Bossy haina shida, nimefurahi pia sahivi nitakuwa na report mauzo kwako, nafikiri utakuwa poa.”
MIMI: “Sawa mimi sina shida ila naomba uniahidi kuanzia leo utakuwa na nidhamu pale napokuwa na Iryn, deal?”
SUMAIYA: “Mimi naropokaga tu ili nione reaction ya Queen, ukweli Queen anakupenda Insider pia unabahati ya kupendwa na mrembo kama yule ila unazingua shauri yako.“
MIMI: “Nitafanya kweli usijali best yangu.”
SUMAIYA: “Naomba uniahidi jambo pia, toka unifanyie vile najikuta nina aibu sana na wewe, sijui kwanini.”
MIMI: “Jambo gani?”
SUMAIYA: “Anyway bhasi, twende lunch nadhani ushaelewa nilichotaka kuongea nini.”
MIMI: “Nimekuelewa mtoto mzuri twende ukapate lunch.”
Nilishinda pale na fundi mpaka anamaliza kazi. Saa 8 mchana niliondoka pale Masaki na nilikwenda Mbezi Beach ili nimpitie Mary pale kwao, maana alikuwa akinisubiri ili twende Mbweni.
Baada ya kuwasili pale kwao Mary alitoka na tukaondoka kwenda Mbweni na tulitumia dakika 30 kuwasili pale kwa Jane.
Nilipiga honi na dada alitoka kufungua geti na nikaingiza gari ndani nikapark.
Baada ya kushuka tuliingia ndani na tulimkuta mama akiwa seblen pamoja na watu wengine na tuliwasalimia wote. Mama alikuwa kafurahi sana baada ya kutuona na alikuwa akiongea na Mary, maana toka twende Tabora Mary hakurudi tena pale Mbweni.
Na muda huu Jane alitoka na wakaishia kukumbatiana na Mary, hata ndugu zake wengine wakabaki wanashangaa.
“Wow mdogo wangu Mary I’m glad to see you here again.”
“Thank you my sister.”
Jane alikuwa anaoneka ameanza kurejea kwenye hali yake ya kawaida, pia mimba yake ilikuwa inaonekana kuzidi kuwa kubwa sana.
Jane alinishukuru sana kwa kuwa msaada kwake kipindi chote cha msiba , na alimshukuru sana Mary kwa kujitoa kwake kipindi chote cha msiba.
JANE: “Mary jinsi ulivyojitoa kwenye huu msiba na nilikuwa sikufahamu, niseme wewe ni zaidi ya ndugu kwangu. Insider naomba mimi na wewe tutoke nje nina maongezi kidogo private na wewe.
Muda huu tulitoka pale seblen na tulikwenda kukaa Garden ndo tulifanyia maongezi pale.
MIMI: “Niambie shem wangu kwanza nipe ripoti za huko maendeleo kwa ujumla.”
JANE: “Nashukuru Mungu ndugu zake Pama wamenipokea vizuri sana, hasa walivyosikia hili la ujauzito wamenipenda sana.”
MIMI: “Hivi mama yake alikuwa hajui kabisa kinachoendelea?”
JANE: “Mama yake Pama alikuwa anajua kila kitu na tulishawai kuongea kwenye simu lakini hatukuwai kuonana live.”
MIMI: “Vipi kuhusu wake wenza tukianza na Mrs Pama.”
JANE: “Hahahaaa Mrs hana usemi, tumeongea vizuri na hajaonesha sign yoyote, amesema atakuja kunitembelea hapa nyumbani. Kwa upande wa mke mwingine yule mwenye watoto wa2 naye hana shida maana nimchempuko mwenzangu tu.”
MIMI: “Nimefurahi sana kusikia hivyo kama Mrs Pama hajaonesha sign yoyote. Na vipi kuhusu mirathi kuna habari zozote umezipata?”
JANE: “Bado ila kila kitu tutajua mwezi wa 7 mwishoni, maana tutarudi tena kwaajili ya mirathi.”
MIMI: “Hongera sana na vipi kuhusu Mzee Juma anasemaje?”
JANE: “Mzee Juma hana usemi zaidi amesema atakuwa anakuja kila mwisho wa mwezi kuangalia maendeleo yangu.”
MIMI: “Unaonaje weekend hii tukaenda mpaka Bagamoyo wewe ukiwa kama Dereva? Ukiendesha hii barabara ndefu tena ya mkoani utapata ujuzi.”
JANE: “Kweli? Mimi sina shida Insider, hii idea yako nimeipenda sana.”
MIMI: “Usiwe na wasiwasi nitakuambia siku gani twende uzuri hapo Bagamoyo hata sio mbali.”
Nilimua kufanya hivi ili kumfurahisha Jane na pia nilitaka kuona uwezo wake wa barabarani kama amemasta au laah. Mimi naamini gari ili uzoee inatakiwa uingie barabarani ndo utajifunza vizuri na kuelewa sheria zote taratibu.
Baada ya maongezi na Jane alimwita Mary pale garden na yeye alikwenda ndani. Baada ya dakika 5 alirudi akiwa ameshika bahasha 2 za kaki.
“Ndugu zangu hizi ni Pesa naombeni mpokee.”
Muda huu sisi tulimkatalia kuzipokea zile Pesa na tulimwambia Jane sisi tulifanya kwa kujitolea na sio kulipwa, hivyo hatuwezi kuzipokea zile pesa zake.
JANE: “Insider ninafamu kujitoa kwenu kwangu, Insider ulinitumia ile budget nimeona kulikuwa na surplus ya milioni 2 na laki 4. Najua hii pesa ilitoka mfukoni kwako kinyume na taratibu. Umoja wa kina Pama umerudisha cost zote zilizotumika hapa na kule kwa Mrs Pama, gharama zote zilitakiwa kuwa juu yao. Wamenikabidhi Pesa zote na zaidi, sasa kuna haja gani ya mimi kuzificha wakati wewe ulitoa pesa zako mfukoni na unamajukumu?, na bado nimepewa pesa za michango ya msiba. Naombeni mpokee kwa moyo mweupe maana ni haki yenu.”
MARY: “Wifi kwa Insider ni sawa ila mimi hapana.”
JANE: “Mary mdogo wangu naomba upokee ingekuwa ni michango sawa ila zimetoka kwa kikundi naomba muwe na amani kama mtakataa nitawawekea kwa simu.”
Ilibidi tupokee tu maana hatukuwa na jinsi muda ule. Tuliendelea kupiga story pale mpaka saa 1 usiku ndo tukamuaga Jane tunaondoka.
Baada ya kufika kwenye gari kila mtu alifungua bahasha yake, mimi nilikuwa nimewekewa milion 5 na Mary aliwekewa milion 2.
Tukiwa njiani tunarudi niliongea na Mary na nilimuomba sana awe anamtembelea Jane kila anapopata nafasi. Mary hakuwa na shida na alisema hilo jambo lilikuwa kwenye plan zake tayari.
Ukweli baada ya kusikia maneno ya Mary nilikuwa nafuraha sana. Kwa upande wangu niliona Mary angekuwa mtu sahihi kwa Jane, sababu alikuwa anajitambua na alikuwa ana akili za kiutu-uzima.
Baada ya kuwasili pale kwao nilimvuta nikamkisi mdomoni “mwaaah”.
“Mary byee uwe na jioni njema, msalimie mama mkwe.”
“Usijali Insider takecare.”
Mary aliondoka na mimi nilikuwa namwangalia mpaka anapotelea ndani ndo nikaondoka maeneo yale.
Muda huu akili ilikuwa inaniambia niende kwa Iryn maana alinambia kuna mzigo kaagiza anategemea ungeingia kesho Jumanne, hivyo nilitaka kwenda kwake ili kucomfirm.
Kwa upande mwingine toka sakata la Jumamosi la kutokupokea simu zake, tulikuwa hatuja wasiliana kabisa. Muajemi naye hakunipa feedback yoyote kuhusu kuonana na Iryn hivyo nikaplan nikitoka kwa Iryn nitampigia simu.
Niliwasili pale kwa Iryn na nikapark gari usawa wa Apartment yake na nikapanda ghorofani. Niligonga mlango akatoka kufungua muda ule ule maana alikuwa seblen na baada ya kuingia ndani nikamkumbatia kwa nyuma.
MIMI: “Nambie Bossy wangu I have missed you bad badly.”
IRYN: “Mmh! Insider umeanza lini unafiki? wakati simu zangu hupokei? Leo nimekupigia 2 times ulikuwa unatumika lakini hujani call back.”
MIMI: “Ooh sorry sijaona kama ulinicheki afu nilikuwa Masaki kwaajili ya kumwangalia fundi then nikaenda Mbweni kwa Jane amerudi tayari.”
IRYN: “Kuhusu Masaki utanitumia report na Jane anaendeleaje?”
MIMI: “Yuko sawa now lakini sio sana hivyo.”
IRYN: “Atakaa sawa tu ila asiwe na mawazo sana ni mjamzito, inaweza kumpelekea shida.”
MIMI: “Mary will takecare of her, I trust Mary. Nambie lakini weekend yako jana iliishaje.?”
IRYN: “Insider kuna jambo naomba tuongee ila uwe honesty na mimi. Hivi kwanini ulikuwa unanitumia mimi kupata pesa kutoka kwa Muajemi?. Ulishawai hata sikumoja kunambia unashida nikakunyima? Kwanini ukaona utu wangu haufai kwako?.
TO BE CONTINUED
Hii story tupo nayo mpk mwezi wa 12…
Naona Muajemi umemaind mwananguHuu uzi nilikuwa naupita tu mpaka nilipoamua kuufungua weeknd hii iliyoisha. Niseme tu weenknd yangu imekuwa bora sanaa nimesoma episodes zote mpaka ya 50. Sema mwanetu insider man unatuangusha sana kwa mrembo iryn, mtoto mzuri kama huyo unaishia kumshika kiuno tu daah. Nimesikitishwa mno.
Anzisha yako uelezee vitu vya msingiStory imeshaanza kuboa..
Jamaa ametufanya kama waumini wa mwamposa.
Anaeleza sana vitu visivyo na msingi wowote.
Assume sasa hapo yuko na Mary yaani,, ndio maana Prisca hakutaka urafiki kati ya INSIDER MAN na Mary,,View attachment 2748158swali ni kama kwa iryn na INSIDER MAN umepiga ? Aah aah
Hii mitaa yangu ya kishua kabisa. Ndoto yangu ni kuishi Bwiru One day. Upepo mwanana mazingira tulivu kabisa.Assume sasa hapo yuko na Mary yaani,, ndio maana Prisca hakutaka urafiki kati ya INSIDER MAN na Mary,,
Ujauzito wa Prisca umemuokoa jamaa yetu kwenye mdomo wa Mary,,
Oya bro Kitangiri15 Kita mitaa gani hiyo,, Madukani, Sokoni, Medical Research, Bwiru kona,, Minazi mi3,, au Mihama mzee,,
View attachment 2748158swali ni kama kwa iryn na INSIDER MAN umepiga ? Aah aah
Yeah man huko tulikuepo kabla hakujawa palivyo leo,, mitaa ya press,, kwa komba, bwiru boys na girls, Aict Ziwani kote tumevuruga sana na wana,, Leo ukitaja mitaa expensive Mwanza lazima Bwiru iwe miongoni mwa top 3,, kuna unyama mwingi sana kule,, mijengo ya maana,, beach view flan ivi amazing kama Texas,, Nitarudi Mwanza,,Hii mitaa yangu ya kishua kabisa. Ndoto yangu ni kuishi Bwiru One day. Upepo mwanana mazingira tulivu kabisa.
Dah aisee[emoji24]ADDITION
IN LOVING MEMORY OF MR. PAMA
Mzee Pama alikuwa na sumbuliwa na ugonjwa uliomtesa kwa zaidi ya miaka 12, mpaka kifo chake kinatokea ilikuwa ni tayari muda umefika. Hata kusurvive kwa kipindi chote hicho ni sababu ya Pesa tu, la sivyo angekuwa alikufa muda sana.
Mzee Pama aliandika waraka toka May na aliandika barua ya Mirathi June week moja kabla ya kifo chake, ni kama alikiona kifo chake mapema.
Mzee Pama alikufa akiwa na watoto watano (5) ambao wote ni mabinti na aliacha mjamzito ambaye ni Jane ambaye alikuwa anatarajia kupata mtoto wa kiume. Hata waraka ulivyosomwa kuwa Jane atapata mtoto wa kiume watu walionekana kufurahishwa sana na zile taarifa.
Mzee pia aliacha Jina la kuitwa mtoto wake wa kiume akizaliwa na baada ya Jane kujifungua alipewa hilo jina X.
Mzee Pama alikuwa ni mstaafu wa Kampuni moja kubwa tu ya kimataifa inadeal na uchimbaji wa madini hapa nchini. Licha ya kustaafu bado walikuwa wanamtumia kwenye Project zao kwenye nchi nyingi hapa Africa. Pia mzee Pama alikuwa ana kampuni zake za kununua na kuuza madini na alikuwa na vitalu pia so alikuwa ana Pesa balaa.
Siku ambayo alikuwa anaagwa pale kwake Ununio mimi na Mary si tulikwenda kujiandikisha kwenye daftari la mahudhurio?. Kimbembe ni kwamba ulikuwa unaandika Majina yako, unakotokea, namba ya simu, Mahusiano yako na Marehemu, kiasi chako cha mchango wako na mwisho kabisa ulikuwa una sign.
Mary ndo alikuwa wa kwanza kuanza kuandika na mimi sikuwa siriazi muda ule sasa baada ya kumaliza nilifata mimi. Nilivyofika kwenye mchango nikasema ngoja niangalie wengine wameandikaje kwakweli nilidata maana watu walikuwa wanatoa michango mikubwa balaa.
Niliona watu wameandika michango mikubwa sana hizi milioni 5, 10 zilikuwa kibao kwenye ile page, wa laki walikuwa wakuhesabika. Kabla ya Mary Pesa ndogo ilikuwa ni laki 5 sasa baada ya kuona Mary kaandika laki 2 ilibidi nicheke kimoyomoyo. Mimi ukweli nilichangia laki 5 maana pesa yenyewe nilitoa kwa zile ambazo alikuwa kanitumia Mzee Pama.
Niliwaza muda ule kutoa pesa yote iliyokuwa imebaki milion 4 kwa account maana milion 2 nilikuwa nishaiutoa tayari kule Mbweni. Lakini nikakumbuka Mzee alisema ananipa Pesa kwaajili ya Shukran na kunipa assist nilikokwama niliamua kuchangia laki 5. Na niliwaza pesa itakayobaki nitafanya jambo kwaajili ya ukumbusho wake.
Malipo yalikuwa yanafanyika kwa bank au Lipa namba na zilikuwa palepale kwa daftari. Nilishangaa sana kuona watu wakichanga pesa nyingi vile hapo watu Karibu 500 kasoro walikuwa washajiandikisha tayari.
Mary alishangaa sana alinambia “Insider hata nilikuwa sijui niweke kiasi gani maana niliona watu wanatoa michango mikubwa balaa ikabidi nijivute na mimi sio mbaya”.
Nilicheka sana kwakweli, hapa ndo nikawaza ukiwa maskini utazikwa na maskini ukiwa Tajir utazikwa na matajiri.
Kitu kingine msiba ulisimamiwa na Kikundi cha Mzee Pama ambacho huwa wanasaidiana kwenye shida na Raha. Walisimamia kila kitu mpaka mazishi na bado walitoa rambirambi kwa wafiwa. Yaani ile michango ilikuwa sio kitu tuseme haikutumika kabisa.
Mzee Pama nilifanya naye kazi nyingi na alinisaidia sana kiuchumi kielimu nk. Bado tumetoka sana out kama Samaki Samaki tumekwenda sana. Ni mambo mengi sana ambayo sikuyandika humu, alikuwa ni rafiki, Mzazi na mshauri kwangu.
Mzee Pama alinifundisha sana maisha na jinsi ya kuishi na watu, pia mzee aliniamini na alinipenda sana kama kijana wake. Kitu ambacho kilimkosesha raha Mzee Pama ni kukosa mtoto wa kiume tu.
R.I.P mzee Pama kila June nitaendelelea kukumbuka na kukuenzi kwa yote. Uliniachia task ya kuwa karibu na Jane na sasa ana mtoto wako wa Kiume wa miezi 9 na ana afya tele.
Ni vitu vingi sana vilitokea kwenye huu msiba ikiwemo watoto zake wote kusomeshwa mpaka chuo, siwezi kumbuka vyote.
Kingine June hii tulikwenda Tabora na Jane kulitembelea kaburi lake na kuweka maua. Niliteseka sana baada ya kifo chake nilikuwa na stress sana na nilikuwa nikimwota sana usiku Mzee na ndotoni nilikuwa naona akicheza na mwanae.
Baada ya kifo cha Mzee Pama niliamua
kuachana na Biashara ya Uber/Bolt kama heshima yangu kwake.
Hii ni moja ya kumbukumbu kubwa na mbaya sana ambayo biashara ya Uber iliniachia kwenye historia ya maisha yangu. Kumbukumbu ingine tutaikuta huko mbele kidogo.
R.I.P MZEE PAMA MUNGU AENDELEE KUKULAZA MAHALI PEMA PEPONI.
Romans 14:8
"If we live, we live for the Lord, and if we die, we die for the Lord. So, whether we live or die, we belong to the Lord."
Warumi 14:8
"Kwa maana kama tukiishi, twaishi kwa Bwana, au kama tukifa, twafa kwa Bwana. Basi kama tukiishi au kama tukifa, tu mali ya Bwana"
AMEN [emoji120]