Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Ila mjomba INSIDER MAN ulizingua sana kutomla huyo mrembo
 

Attachments

  • FB_IMG_1694524031414.jpg
    FB_IMG_1694524031414.jpg
    43.6 KB · Views: 2
Anazunguka zunguka Mara Mary sijui Prisca kitu cha kuelezea katoka out atataja hadi location sijui kaongea na muudumu.

Mara nikafungulia mlango.

Mara naandika siku Tatu ili nikumbuke matukio yaani matukio ya mwaka Jana mtu uyasahau
Kama anakukera ndg siuche kuufuatilia huu uzi, acha chuki binafsi ndg,, hiyo roho ya kichawi
 
Wewe unayakumbuka matukio yote ya maisha Yako!?

Huna Kazi zingine zinazo ku keep busy!?

Umelazimishwa kuisoma hii story!?

Kuna ubaya ukikaa kimya kama huipendi!?

Je unashindwa kuipotezea!?

Duniani watu mavimavi huwa hawakosekani
Afadhali umwambie maana anakuwa kama ka mbaleloo (mbuzi mtoto) kananyonya huku kanalia mmeeee, kanapiga kichwa manyonyo ya Mama mwe mwe mweee. . .
 
😂😂😂😂😂😂😂😂.... Dah!! Em fanya na wewe utuletee uzi wako hapa, hata Kama utakuwa chai wananzengo tumekubali, nnahakika humo ndani watu wataliwa mpaka basi
😆😆😆😅😅 na nikikaa sawa nitaleta uzi nilivowala hawa she kimasihara....
 
Wewe unayakumbuka matukio yote ya maisha Yako!?

Huna Kazi zingine zinazo ku keep busy!?

Umelazimishwa kuisoma hii story!?

Kuna ubaya ukikaa kimya kama huipendi!?

Je unashindwa kuipotezea!?

Duniani watu mavimavi huwa hawakosekani
Ukiona hivyo ujue ana hamu sana
 
Back
Top Bottom