Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂😂😂😂😂.... Dah!! Em fanya na wewe utuletee uzi wako hapa, hata Kama utakuwa chai wananzengo tumekubali, nnahakika humo ndani watu wataliwa mpaka basi😅😅😅😅 na pisi kadha wa kadha. Bila kuwasahau na watoto wao.
Yani kwa jinsi anamuelezea ni very exceptional...kumbe alikua anampenda mi sikujua..nimejua aliposema ameumia...eti, wakati alikuwa anaanikiwa mbususu njenje anaiangalia tu, mpaka akina lucy wanamwita boya, huyu jamaa alivurugwa nadhani, kuna wanawake unakuwa nao kazini/biashara unajiuliza mara 2 2 jins ya kumtokea ila siyo huyo iryn jinsi mleta uzi anavomuelezea.
Anazunguka zunguka Mara Mary sijui Prisca kitu cha kuelezea katoka out atataja hadi location sijui kaongea na muudumu.
Mara nikafungulia mlango.
Mara naandika siku Tatu ili nikumbuke matukio yaani matukio ya mwaka Jana mtu uyasahau
Basi waalimu wako walipata shida sanasioni mkuu saiv ndio nipo ya 3 mwanzon kabisa page namba 4
Wewe unayakumbuka matukio yote ya maisha Yako!?Anazunguka zunguka Mara Mary sijui Prisca kitu cha kuelezea katoka out atataja hadi location sijui kaongea na muudumu.
Mara nikafungulia mlango.
Mara naandika siku Tatu ili nikumbuke matukio yaani matukio ya mwaka Jana mtu uyasahau
Yani kwa jinsi anamuelezea ni very exceptional...kumbe alikua anampenda mi sikujua..nimejua aliposema ameumia...
Kwakweli hahahahaSie wanaume tunanamna yetu, Kuna wakati ni ngumu sana kueleweka.
Huu uzi nilikuwa naupita tu mpaka nilipoamua kuufungua weeknd hii iliyoisha. Niseme tu weenknd yangu imekuwa bora sanaa nimesoma episodes zote mpaka ya 50. Sema mwanetu insider man unatuangusha sana kwa mrembo iryn, mtoto mzuri kama huyo unaishia kumshika kiuno tu daah. Nimesikitishwa mno.
Hongera sana posts elfu 5 na mia zake kadhaa si mchezo kuziperuzi aiseee....Huu uzi nilikuwa naupita tu mpaka nilipoamua kuufungua weeknd hii iliyoisha. Niseme tu weenknd yangu imekuwa bora sanaa nimesoma episodes zote mpaka ya 50. Sema mwanetu insider man unatuangusha sana kwa mrembo iryn, mtoto mzuri kama huyo unaishia kumshika kiuno tu daah. Nimesikitishwa mno.
Kwakweli hahahaha
Kabisa mkuu yani kuna episodes nilikuwa nasoma mpaka napata hasira jinsi mkuu insider anavyoacha kuwala kimasihara watoto wazuri. Aisee!Tayari amepigwa na kitu kizito...hii siku INSIDER MAN hatoisahau kamwe.
Wanaume tuna wivu sana.
Cha ajabu hata angemuona na Muajemi Bado moyo ungeenda mbio tu licha ya kwamba alikua anafanya mipango kati Yao.
Haha as i said hii weekend yote nikila, nikienda msalani namuona iryn tu kichwani.Hongera sana posts elfu 5 na mia zake kadhaa si mchezo kuziperuzi aiseee....
hyo exceptionality wala hamna......this dude just know how to sugarcoat this fictionYani kwa jinsi anamuelezea ni very exceptional...kumbe alikua anampenda mi sikujua..nimejua aliposema ameumia...