Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

...yeah! yeah! yeah! sijawah pakia dada mzur kama huyu [emoji15]... Naingia ya 7
 
😅😅😅😅 na pisi kadha wa kadha. Bila kuwasahau na watoto wao.
😂😂😂😂😂😂😂😂.... Dah!! Em fanya na wewe utuletee uzi wako hapa, hata Kama utakuwa chai wananzengo tumekubali, nnahakika humo ndani watu wataliwa mpaka basi
 
eti, wakati alikuwa anaanikiwa mbususu njenje anaiangalia tu, mpaka akina lucy wanamwita boya, huyu jamaa alivurugwa nadhani, kuna wanawake unakuwa nao kazini/biashara unajiuliza mara 2 2 jins ya kumtokea ila siyo huyo iryn jinsi mleta uzi anavomuelezea.
Yani kwa jinsi anamuelezea ni very exceptional...kumbe alikua anampenda mi sikujua..nimejua aliposema ameumia...
 
Anazunguka zunguka Mara Mary sijui Prisca kitu cha kuelezea katoka out atataja hadi location sijui kaongea na muudumu.

Mara nikafungulia mlango.

Mara naandika siku Tatu ili nikumbuke matukio yaani matukio ya mwaka Jana mtu uyasahau

watu waliosoma hesabu huwa na kumbukumbu nzuri sana[emoji23] hata mm najiulizaga mbona anakumbuka sana tena kila kitu ila nikapata conclusion jamaa alisoma hesabu bwana[emoji16]
 
Anazunguka zunguka Mara Mary sijui Prisca kitu cha kuelezea katoka out atataja hadi location sijui kaongea na muudumu.

Mara nikafungulia mlango.

Mara naandika siku Tatu ili nikumbuke matukio yaani matukio ya mwaka Jana mtu uyasahau
Wewe unayakumbuka matukio yote ya maisha Yako!?

Huna Kazi zingine zinazo ku keep busy!?

Umelazimishwa kuisoma hii story!?

Kuna ubaya ukikaa kimya kama huipendi!?

Je unashindwa kuipotezea!?

Duniani watu mavimavi huwa hawakosekani
 
Huu uzi nilikuwa naupita tu mpaka nilipoamua kuufungua weeknd hii iliyoisha. Niseme tu weenknd yangu imekuwa bora sanaa nimesoma episodes zote mpaka ya 50. Sema mwanetu insider man unatuangusha sana kwa mrembo iryn, mtoto mzuri kama huyo unaishia kumshika kiuno tu daah. Nimesikitishwa mno.
 
Tayari amepigwa na kitu kizito...hii siku INSIDER MAN hatoisahau kamwe.

Wanaume tuna wivu sana.
Cha ajabu hata angemuona na Muajemi Bado moyo ungeenda mbio tu licha ya kwamba alikua anafanya mipango kati Yao.
 
Hongera sana posts elfu 5 na mia zake kadhaa si mchezo kuziperuzi aiseee....
 
Tayari amepigwa na kitu kizito...hii siku INSIDER MAN hatoisahau kamwe.

Wanaume tuna wivu sana.
Cha ajabu hata angemuona na Muajemi Bado moyo ungeenda mbio tu licha ya kwamba alikua anafanya mipango kati Yao.
Kabisa mkuu yani kuna episodes nilikuwa nasoma mpaka napata hasira jinsi mkuu insider anavyoacha kuwala kimasihara watoto wazuri. Aisee!
 
Back
Top Bottom