Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Iryn kapata mwamba wa kumnyoosha, ngoma Inazidi pamban moto
 
Duh? Inasikitisha kwakweli!
 
Leo rasmi nimeamini hii ni story ya kutunga.

Jamaa amempa nafasi ndogo sana mke wake mama J na kuonekana hana mchango wowote maishani.

Kwa maelezo ya mwanzo ulivyoeleza jinsi gani ulipata shida kumtafuta mama janeth leo hii naona imekuwa rahisi kumpata hadi unaenda kwake kirahisi na kuzunguka nae mtaani kirahisi...

Mzee Iryn alivyokuwa na wivu juu yako leo kaamua kukupotezea pasipo na sababu yoyote tu ile.

Kiukweli story ni.

FICTION INAENDELEA KUPOTEZA MVUTO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…