Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mambo mazuri hayataki haraka sikuzote [emoji23]
mkuu sehemu ya 27 naomba link yake... Maana 25 na 26 hazina link ya muendelezo... Nisaidie mkuu nna ka simu kadogo ka operamini siwezi kuscrol page nyingi
 
Hisia zangu Lyin lazima aliwe na Insparderman ,
na Lyin alifanya mch ezo ule kwa sababu ya kugundua alikuwa Anauzwa na mtu aliyemwamini ana maumivu mkubwa ndani
Pia Mimba ya Mtoto wa changanyikeni Wanaitegemea Familia Kama Mridhi kwani kwa Marry hawana Mtoto wa kiume endapo atazaliwa dume Insparderman ni Sherehe tu ,Kama haijatoka Lakini kwani Kuna hisia za hivyo ninazo
 
Yani Familia itegemee mjukuu aje arithi mali zao? Mzee unawaza kiuhalisia? Au unafikiri tupo kwenye Tamthilia?

Nimesikitika sana kwa Comment yako[emoji23]
 
Tangu mwanzo wa Simulizi hii, sijawahi kuumia kama nilivyoumia kwenye episode ya 52 dah aisee yani
 
Yani Familia itegemee mjukuu aje arithi mali zao? Mzee unawaza kiuhalisia? Au unafikiri tupo kwenye Tamthilia?

Nimesikitika sana kwa Comment yako[emoji23]
NIMECHEKA KINOMA YAN !

ETI UMESIKITIKA SANA !

Sema mwamba kanogewa Kwamba Insider Huwa mambo yake yanajitiki tu yenyewe kwa yenyewe [emoji38] [emoji23][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…