Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Angeshtuka [emoji23] maana alikuwa kashakata tamaa, Iryn alimpiga na kitu kizito sana.
10 ml walau imepunguza machungu Iryne kakuumiza na kwa jeuri kaenda kuchukua gari kwa Mama Janet kwamba bila wewe hakuna kitacho mkwamisha kwenye mishe zake naridia tena Muajemi alistahili adhabu kali zaidi ya hiyo
 
Muamala wa Muajemi ulisoma au haukuingia?
Ila we jamaa ni komando kipensi, hii idea ya kumtengeneza Muajemi ilikuaje ghafla namna hiyo na ukaipanga ikapangika?
Awali nilifikiri amekushtukiza Bado hauna ajenda ya maangamizi kumbe ulikua na mpango kazi tayari na remote mkononi?
 
Muajemi ni kiazi kwa kweli.
 

Nilishinda siku nzima home ndo nikatoka jioni kwenda Airport, nilikuwa nisha andaa mpango tayari nikiwa home.
 
Ili kuwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…