Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Mkuu unataka niwe nandika kila kitu? Yaani niandike nilikwenda kwa mama 2 kulipa deni?[emoji1][emoji1544].

Suala la ujenzi ni binafsi ndomana siandiki progress humu ndani[emoji3]
Nimependa haso zako na nimependa namna unavyo jidhibiti kwenye matumizi ndio maana nimevutiwa kuona kam ulimudu kulipa liledeni make una njaa ya hela [emoji28][emoji28] na hela zinapit amikononi mwako ilakulipa deni ndio sikujua
 

kwakweli nina marafiki wawili wa chuo ila wakiume[emoji23][emoji119][emoji119] They are so real kwakweli namshukuru MUNGU hawana unafiki wala choyo tunasaidiana sana na kusapotiana sanaa na nawakubali sana[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…