SMARTER GHOST
JF-Expert Member
- May 22, 2021
- 298
- 1,258
There is a thin line between love and hate!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimependa haso zako na nimependa namna unavyo jidhibiti kwenye matumizi ndio maana nimevutiwa kuona kam ulimudu kulipa liledeni make una njaa ya hela [emoji28][emoji28] na hela zinapit amikononi mwako ilakulipa deni ndio sikujuaMkuu unataka niwe nandika kila kitu? Yaani niandike nilikwenda kwa mama 2 kulipa deni?[emoji1][emoji1544].
Suala la ujenzi ni binafsi ndomana siandiki progress humu ndani[emoji3]
KUla chuma hicho😂😃Hii timu mkuu itanipa ugonjwa wa moyo..jana tena tumepokea za uso
Haya ndiyo maneno sasa 😂kwakweli siku insider akimla iryn itakua ndo basi tena![]()
![]()
Hili pia limechangia pakubwa huyo bibie kuwa na jazba kwa kijana wetu 😂insider alishapoteza chance nyingii
Chuoni mnakutana my watu wazima so huwezi mjua mtu nje ndani pia hata Kama mtu mchoyo ana Tabia nzuri ama mbaya huwezi jua Mana ameshakuwa mkubwa so anayaficha mabaya yake.
Ila Sasa njoo mkiwa wadogo Kama huko olevo advance and primary pale unamjua mtu uhalisia wake,Mana Kama Kuna mwingine hapendi kuelekezwa wenzake eti watajua na watamzidi. Kuna mwingine akiazimwa pamphlet ukilitoa kopi anaichana kopi yako.
Ingawa mie rafiki yangu wa kuzikana na kufa nimetoka nimekutana naye chuoni na huwa inatokea in rare case mno
Haya ndiyo maneno sasa [emoji23]
Subili kwanza tunaangalia mechi ya mabingwa Arsenal hapa
Apia 😂sitasoma tenaa huu uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Apia [emoji23]
Hiyo mechi wengine haituhusu, mzigo utupiwe tu.Subili kwanza tunaangalia mechi ya mabingwa Arsenal hapa
Mleta habari INSIDER MAN yupo kwe mechi sasa sijui itakuwaje,maana timu yake ya Arsenal inachezaHiyo mechi wengine haituhusu, mzigo utupiwe tu.
Hahahaa najua huwezi kukimbia uzi mtamu kama huu[emoji23][emoji23][emoji23] acha izo mkuu
Ishafika 20:20
Atowe maagizo kwa mama J amsaidie kupostMleta habari INSIDER MAN yupo kwe mechi sasa sijui itakuwaje,maana timu yake ya Arsenal inacheza