Naona umeongea kwa hisia kali ila uko sahihiSwahiba INSIDER MAN kabla hatujaenda mbali naomba kujua kama huyo sijui Irene alikupa mbunye, kama hadi mwisho hukuichakata sema mapema mi niishie hapahapa bana, maana mi huwa ni mvivu sana wa kufuatilia story ambayo haina mambo ya muhimu.
nilishawaza hivi kablaKuna wakati nafananisha na kutofautisha aina na mtindo wa uandishi Kati ya insider na BMX 6 naona kama hawa jamaa ni ndugu[emoji23][emoji23][emoji23]
mbona kama anatafuta mke[emoji23][emoji23]
Kwa kweli ijumaa imewadiaUsiku wa deni hauchelewi
Kesho ni ijumaa
Kama mother house anavyouliza mtu ukichelewa“Where have you been?”
Kwani kuna mtu kawauliza hii ni story ya aina gani.....? Au katika wote wewe ndio unasoma hicho kitabu sidney....? Ndugu yangu acha ujinga na shobo kam hutaki sepa hujaitwa kwenye huu uzi na hakuna alie kulazimisha kusomaTuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
Wewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong❌TISS data:
Mzee Pama - Likwalile
Jane - Vicky Kamata
Mzee Pama humu kaandikwa kama mstaafu lakini aliachishwa kazi na Magu. Pia alifariki 2021 na ana watoto Canada na wake wengine.
Jane anaishi Mbweni humu katumika kama hawara, kwenye kesi Vicky akisema mke halisi lakini mahakama imeikata doa yake. Pia Vicky ana gombania mali na watoto wa Likwalile wa Canada.
Kila nikisoma huu uzi na kesi ya Vicky Kamata na watoto wa Likwalile naona hao ndio wahusika wa huu uzi.
Mkuu huyu kajaribu kuficha wahusika lakini angalia stori yake na kesi ya Vicky kiundani utanifahamuWewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong❌
Hujajibu nilichokuuliza maana swali lipo direct kwa kulinganisha stori na uhalisia.. Je Vicky kamata mpaka mwaka 2021 hakuwahi kumiliki wala kujifunza kuendesha gari? Halafu Kwa mujibu wa insider mzee pama alizikwa huko Tabora, je huyo Mume wa Vicky alizikwa wap?Mkuu huyu kajaribu kuficha wahusika lakini angalia stori yake na kesi ya Vicky kiundani utanifahamu
Hongereni wewe na huyo Sidney Sheldom wakoTuliosoma story za sidney sheldom tunajua insider anachokifanya lakn kama sio mpenz wa kusoma huwez jua hata kidgo mbinu za muandishi hii story niyakufirika 100% kama hutaki na unabisha sawa hakuna shida ni mtizamo wako tuh. Muandishi anakumbua kila kitu kilichotokea mwez may miaka m3 iliyopita sawa[emoji23][emoji1373] hata phil knight wanamsifu kwa kukumbuka matukio meng lakn ukisoma kitabu chake cha shoe dog ni mwengi huadithia in general.. ila kwasababu watu wengi sio wasomi bas wamaweza kufiri kdg na kusema n story ya kwel but for me ni story ya kufikirika 100%
Wewe unaamini mpaka 2021 vicky kamata alikua hajui kuendesha gari hakuwahi kumiliki hari mpaka aje kufundishwa na Insider..?! Wrong[emoji777]