Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Screenshot_20230919-061648_Instagram.jpg


Oya INSIDER MAN huyu si Muajemi? Kama ndie sema wahuni twende tukampige tukio.
 
Kwa nn Iryn akutane na INSIDER maeneo alipo na hakutaka yy afuatwe?,
1.Alikuwa maeneo karibu na Mlimani City
2.Anataka kujua INSIDER yuko na nani?
Unconfirmed Conclussion:Iryn bado anafeeling kwa Insider ila anasubiri initiation ..but real men never bend a knee
 
Ila mwana sometimes unazingua ujue Iryn anakupigia simu x2 na hupokei,,? Kama alitaka urudi ukamnyandue je,, yani hapo ndio unatukosea wadau angalia tutaanza kukuvua vyeo sasa,,
Hapa kwa Kweli jamaa kazingua sana eti anafanya hvyo ili iry hasijione so [emoji23]special ..Ila insider wew Ni mbuzi
 
Katika watu siwapendi kwenye hii story ni Mama J na Prisca kwa sababu mama J alikusababisha ukaanza kumcheat ugomvi kidogo tu anakimbilia nyumbani yaani kaniudhi pia Prisca kaniudhi tu kwa sababu king'ang'anizi ona sasa kajibebesha mimba yaani hapo mawazo yake akibeba mimba akizaa nae atakuwa sawa na Mama J,

Katika watu uliowakosea sana ni Iryn anavyokuchukulia tofauti na unavyomchukulia yaani yeye amekufanya mtu special sana kwake lakini wewe unamuona kawaida tu ni hizo hela zinakufanya uendelee kubakia nae, tamaa ya pesa inakufanya mpaka unajitahidi kumuunganisha na Muajemi ni afadhali ungeongea nae tu kishkaji bwana Muajemi anasema anakupenda sana anataka kukuoa lakini ana wake 2 halafu uone reaction yake lakini wewe unawasiliana na Muajemi kwa siri halafu unaendelea kumsukuma Iryn huko pia kwa siri siri huu ni urafiki wa aina gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umempa makavu kijana
 
naona kisa kimeshindwa kuweka wazi kama mfaransa ndo aina ya gari alilokuwa amekubaliana na Iryn. Pia hakuweza kubainisha kwamba ni kwa nini Iryn aliishi kwenye apartment na sio home kwao ukizingatia ukwasi wa marehemu mama yake aliokuwepo nao
Hapo mwamba nadhani wewe umeshindwa kuiunga story vizuri kwani maelezo yalijitosheleza
 
Tangu jmoss ndio namaliza leo hii story kwahiyo next ni lini ?
 
INSIDERMAN ungetusuprise na Liepisodi limoja apa ungetisha sana....
 
Back
Top Bottom