Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Santoo sana rafikiiiii Ndio naingiaa saiii!! Naona Ma episodes furuuuu!!
Mgogoro baridi baina ya INSIDER na Iryne umalizwe kwa haraka sijapenda kabisa walipofikia naomba kikao kiwe na muafaka mzuri kama mwanzo ila kuongozana na Prisca hapo INSIDER ataharibu na itakua dharau kwa boss Iryne
 
Hapana mi naona mgogoro baina yao ndio unanogesha urafiki sijui mahusiano yao!!

Kumbe huko mbele kuna kashikashi za uongozana na priska tena mchana niliishia episode 53 nimeamua nisome kwa afya ya kupunguza arosto ukimaliza episodes zote kwa pamoja arosto inakua kali sana!

Au Mwamba kaona nae akamuumuze Iryn yani kaamua potelea kushoto unyama unyama!!
 
Tangu Iryne akutane na msela hadi kufikia kuwatoa out na kuwarudisha kwa apartment ya Iryne nimejikuta napoteza mood kiukweli huu mgogoro uishe tu hii inaniumza
 
Dohh naona kabisa hapooo miambaa mmepata ussshuuuuunguuuuuu balaaaa 😂!

Afu msela mbona imekua ghafla sana katokea wapi kwani??
Huyu msela data zake sijazielewa elewa vizuri eti!
 
Dohh naona kabisa hapooo miambaa mmepata ussshuuuuunguuuuuu balaaaa [emoji23]!

Afu msela mbona imekua ghafla sana katokea wapi kwani??
Huyu msela data zake sijazielewa elewa vizuri eti!
Machungu yamezidi kipimo huyo msela hakuna data yoyote inayomhusu

Msela na boss lady waliongea lugha 2 kimalkia na lugha nyingine INSIDER hakuitambua inahisiwa kuwa kifaransa
 
Hapo itakua kuna kitu hapo sio kawaida!! Ngoja tusubirie tuone
 
Yaani Iryn aliamua kukutumia kumuhamisha kwenye apartment nyingine ili amlete msela wake! Iryn nyokolo.

Yaani huyu msela kafanya nikose mood ya kuendelea kufurahia stori kabisa. Yaan kuna kitu kimenikaba hapa kooni.
 
Ndugu mchambuzi andika story yako na wewe Kisha uzingatie hivyo ulivyovisema, usimpangie Apunguze chumvi we unajuaje km ni chumvi ulikuepo wakati hayo matukio yanatokea!?
Mimi nimechambua na kutoa maoni, SIJACOMMAND , PUMBAVU!!
 
Back
Top Bottom