Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

Sema we ni team Iryn utaeleweka, ila kijana wetu hajatudhihirisha wazi kuwa mrembo ni nani miongoni mwa hao warembo.

Iryn sijamkubali kabisa, heri hata mama kijacho ana kaurembo kalikomfanya kijana wetu akafanya yake šŸ˜
Irene ananikosha msimamo wake fulani hivi ...sema wivu wa mama J najiona Mimi kabisa haha 😁😁!!

Priska kaniboa kuzaaa na mume wa mtu kizembe sana na kuonesha kafa kaozaa na eti yuko tayari kumzalia tenašŸ˜’!
 
Tatizo watu huwaga hawapendi kuheshimu mawazo au maoni ya watu wengine, hawa ni wale watu wasiopenda ukweli sehemu inapohitajila ukweli, kwasababu tu wao wanaburudika....

Kingine , Naona watu wengi wana tatizo la afya ya akili bila ya wao kujijua, hivi kweli mawazo au maoni ya mtu ni ya kutaka kupingana nayo kama ni argument au command??

Umetoa maoni, unatukanwa[emoji23]
Bro hichi si kikao kwamba kina agenda utoe maoni… Watu kama nyinyi ndio mlifanya jamaa akataka kuacha kuendelea kusimulia kwa sababu ya kenge kama nyinyi kuingilia kwenye msafara wa mamba…
Usimfundishe mtu jinsi ya kuelezea story ya maisha yake aelezee kwa perception zako wewe.. huo ni upumbavu ambao watu tunaukataa na ndio unasababisha watu wengi kuacha kusimulia kwa sababu ya kenge kama wewe na wenzako kuingilia msafara wa mamba..

Mtu anafatiliwa na viewers zaidi ya million moja alafu unakuja kenge mmoja au wawili eti mnajifanya mnatoa maoni kwa story ambayo hamkuijua A wala B..

Mjifunze kufunga mabakuli yenu hayo au toeni na nyinyi story zenu muone kama mnaweza kupata hata viewers 1000..

Nikiona kenge yoyote kwenye msafara wa Mamba lazima niruke naee.. MPumbavu wewe
 
Screenshot_20230919-061648_Instagram.jpg


Oya INSIDER MAN huyu si Muajemi? Kama ndie sema wahuni twende tukampige tukio.
 
Kwa nn Iryn akutane na INSIDER maeneo alipo na hakutaka yy afuatwe?,
1.Alikuwa maeneo karibu na Mlimani City
2.Anataka kujua INSIDER yuko na nani?
Unconfirmed Conclussion:Iryn bado anafeeling kwa Insider ila anasubiri initiation ..but real men never bend a knee
 
Ila mwana sometimes unazingua ujue Iryn anakupigia simu x2 na hupokei,,? Kama alitaka urudi ukamnyandue je,, yani hapo ndio unatukosea wadau angalia tutaanza kukuvua vyeo sasa,,
Hapa kwa Kweli jamaa kazingua sana eti anafanya hvyo ili iry hasijione so [emoji23]special ..Ila insider wew Ni mbuzi
 
Katika watu siwapendi kwenye hii story ni Mama J na Prisca kwa sababu mama J alikusababisha ukaanza kumcheat ugomvi kidogo tu anakimbilia nyumbani yaani kaniudhi pia Prisca kaniudhi tu kwa sababu king'ang'anizi ona sasa kajibebesha mimba yaani hapo mawazo yake akibeba mimba akizaa nae atakuwa sawa na Mama J,

Katika watu uliowakosea sana ni Iryn anavyokuchukulia tofauti na unavyomchukulia yaani yeye amekufanya mtu special sana kwake lakini wewe unamuona kawaida tu ni hizo hela zinakufanya uendelee kubakia nae, tamaa ya pesa inakufanya mpaka unajitahidi kumuunganisha na Muajemi ni afadhali ungeongea nae tu kishkaji bwana Muajemi anasema anakupenda sana anataka kukuoa lakini ana wake 2 halafu uone reaction yake lakini wewe unawasiliana na Muajemi kwa siri halafu unaendelea kumsukuma Iryn huko pia kwa siri siri huu ni urafiki wa aina gani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umempa makavu kijana
 
Back
Top Bottom