255Clatus Chama
Member
- Sep 20, 2023
- 57
- 75
Nakusubiri ukue kwanza kaka nitakufundisha usijali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sister Mbona mi hunifundishagi[emoji3][emoji1787]
Oyaa mi naacha jfπ, nipe no tuta kuwa tuna bongaππ€£Nakusubiri ukue kwanza kaka nitakufundisha usijali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Heee kwanini tena unaondoka kwa Melo bro?? Ndio maana siku hizi upo adimu sana humu???Oyaa mi naacha jf[emoji3], nipe no tuta kuwa tuna bonga[emoji3][emoji1787]
Muendelezo upo bro au nikanyooshe nguo zangu za kanisani nilale tuu??Wapi nimeandika nilikuwa naongea na simu mbele ya mama J?
Fanya hivyo, mi nasepa live live. UTA nitumia no kwa jumba.Heee kwanini tena unaondoka kwa Melo bro?? Ndio maana siku hizi upo adimu sana humu???
Sijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..Wapi nimeandika nilikuwa naongea na simu mbele ya mama J?
Kaka INSIDER MAN uzi uzi shusha nyuzi
Una acha jf au unaacha kutumia hii IdππOyaa mi naacha jfπ, nipe no tuta kuwa tuna bongaππ€£
Naacha jfππ, Nina I'd moko tyπ€£Una acha jf au unaacha kutumia hii Idππ
Dah nyuki wa mashineni π, mi wa 70 ujueπππ. Hee kumbe wa 90π€£πAmkiaa wewe Oyaa ndo mdudu gani?π€¨π
Acha uwongoNaacha jfππ, Nina I'd moko tyπ€£
Sijasema mbele ya mama J..namaanisha kuna uwepo wa mama J sio lazima awe mbele yako...mfano hapo mlipokua sijui site...si ulisogea pembeni ukaongea nae na I love u juu?.. any way tuendelee..
Dogo na mwenzio umechangia kijiwe chetu kusambalatika ππ¬π¬Dah nyuki wa mashineni π, mi wa 70 ujueπππ. Hee kumbe wa 90π€£π
Ila hii story jamani hapana, yaani mtu mmoja mirija ya hela inatiririka kwake tuu muda wote khaa
Yaani inatufanya mpaka wengine tujione hatuna bahati au sijui hatuna akili ya kutafuta hela